Vidubwasha vya JamiiForums

Vidubwasha vya JamiiForums

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,775
Kuanzia Jana nikiwasha PC na kuingia JF kuna vidubwasha vyeupe vinakuwa vinapita pembeni ya screen kama vinaanguka chini, VINANIKERA BALAA. Sijui vina maana gani, viangalie kwenye video hii
 
Back
Top Bottom