Vidonge vya pregnant care.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Kuna hivi vidonge vinaitwa PREGNANT CARE kwa ajili ya kina mama wajawazito, je kuna yeyote mwenye taarifa zake hasa kama vinaleta madhara kwa mtumiaji, ama vinasaidia kweli ama ni biashara tu maana vimezagaa sana kwenye maphamarcy na inasemekana si mpaka mama awe na matatizo ndiyo atumie anaweza tumia tu kwa ajili ya kupata madini kama chuma,magnesium nk.

Kwa mwenye uzoefu navyo please taarifa.
 
ni vizuri tu,sijui vya huko tz.ila dawa zote huwa si zinaandikwa side effect zake?
 
Back
Top Bottom