VIDONGE VYA GISENG

VIDONGE VYA GISENG

92 jerrie yuko sahihi. Haya mambo tunayodanganyana kwenye familia zetu kwamba mambo ya chakula apambane nalo mama na baba alipe ada na kujenga ndugu yangu utakula kabichi na sembe mpaka familia ipate utapiamlo. Mlo kamili ni gharama lakini tusipowekeza huko tunaua mili yetu.
Kwa nijuavyo mimi jambo la kwanza kwenye maisha ni kula vizuri ndio mambo mengine yaendelee. Kama unajenga au unasomesha watoto kipato chako kinaishia huko chote basi inabidi ubadili harakati au uachane na hizo ada au kujenga.

Binadamu mwenye akili yimamu kujibana kutokula basi hata sababu ya ww kuwa duniani huijui
 
Kuna aki na baba wanaacha ada ya mezani bila kutoa maelekezo mwisho wa siku wanakuta mnafu na bamia kumbe cha juu kimeenda VICOBA. Ukisikia wanaume wa siku hizi hawana nguvu ujue jambo hili lina historia yake.
 
Wakuu za mchana? Niombe kuuliza wapi naweza kupata vidonge vya Giseng kwa hapa Dar. Sina maelezo ya kutosha ya hii bidhaa, ila kwa kifupi nimeona katika vyanzo mbalimbali kuwa inaboresha mifumo yote ya mwili.
Kwa anayejua kuhusu upatikanaji wake, bei na uzoefu tunaweza kupeana updates hapa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Vilinileteaga kidney stone ivyo
 
Kuna hizi wanazitangaza mpaka kwenye mabasi ya Mwendokasi. Zinaitwa Ginsomin, zinauzwa kati ya 20k_25k Chupa yenye Vidonge 30, ambayo ni Dozi ya mwezi mmoja...
 
Vinapatikana pharmacy

21st century ginseng

Ginsomin

Homtamin

Zote hizo zina ginseng.
 
Back
Top Bottom