Have you considered other forms of birth control instead? Nendeni kwa doctor awashauri njia ipi itawafaa. P2 is not meant to be taken frequently.Wakuu,
Hivi vidonge hivi vya P2 vina limitation kwa watumiaji?? Yaani anatakiwa atumie mara ngapi kwa mwezi?? Au akitumia hata kila siku ni sawa!!!
Naomba kufahamishwa bei yake!! Nimechoka kumwagia nje!!