Vidonda vya tumbo mpaka kooni

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
335
71
Wapendwa habari,

Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,

Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana

Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
 
Pole sana kiongozi ni vizuri angefika hospitali kupata usaidizi wa kitaalamu.

Pia Kwa hapo nyumbani anaweza kutumia kabichi - anaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.

Kama ni tatizo kubwa sana anaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.
 
Ooh kwanza pole Mimi naweza kukusaidia maana Mimi mwenyewe vilinitesa mpaka nikachanganikiwa 0695271166
 
Wapendwa habari,

Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,

Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana

Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
oh pole huyo ana gerd
 
Hii ni dawa nzuri sana nasikia, tatizo lake ni moja, ina gesi sana. Kabeji ina gesi nimewahi tumia mimi ikawa ina ni kwangua tumbo mnooo mpaka naumia nika acha maana ilikuwa ina nichubua tuu.
Ila wengine ambao hawalalamiki kuhusu gesi ni kweli ime wasaidia sana mpaka kupona ndani ya miezi 2 tuu.

Sasa kuhusu hiyo gesi sijui ni kwa mtu na mtu ama vipi.
Pole sana kiongozi ni vizuri angefika hospitali kupata usaidizi wa kitaalamu.

Pia Kwa hapo nyumbani anaweza kutumia kabichi - anaisaga na kuitumia kama juisi, glasi moja (~ 100ml) asubuhi kabla ya kula chochote.

Kama ni tatizo kubwa sana anaweza kutumia kabla ya chakula cha mchana pia.
 
Huyo aende hospitali kwanza apate apime hyplori kama anao hao bacteria ama lah!
Kama anao atapewa antibiotics kama hana hapo atapewa antiacids aanze mara 1. Maana mpaka vimefika kooni siyo mchezo, japo mimi nahisi hiyo ni Acid reflux ndiyo maana ana hisi koo lina vidonda maana acid reflux ina tabia ya kufanya koo kuuma, kushindwa kumeza vitu vizuri, koo kuwasha nakadhalika.
Akianza tumia hizo antiacids pia azingatie kula vyakula sahihi ,kula mapema asubuhi na ale kidogo kidogo mara kwa mara ikiwezekana mara 4 kwa siku. 6 mchana na saa 10 jiono ale alafu kabla ya saa 2 usiku ale tena akae masaa 2 mpaka 3 ndiyo alale siyo kula na kulala hapo hapo marufuku hiyo ...
Soda,bia na juisi za viwandani ni marufuku, kinywaji kikubwa ni maji tena mara kwa mara.

Dawa ya asili nzuri ni unga wa kokwa la parachichi ime saidia wengi sana, au unga wa mlonge...anywe mara 3 kwa siku kwenye glass yenye maji ya vuguvugu.

Hope wengine wata ongezea

Wapendwa habari,

Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,

Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana

Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.
 
Wapendwa habari,

Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,

Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na kula bamia. Je, mnanisaodiaje Ana Bima kubwa apate msada
Asanteni sana

Mwenye kufahamu combinations au mchanganyiko wa dawa kadhaa za hospitalini pia anaweza nisaidia...
Wako katika ujenzi wa taifa Dar es Salaam.

Wife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
 
Tafadhali piga hii namba 0695271166 atakusaidia
 
Huyo most likely ana Barret Esophagus kwa sababu ya kupanda kwa asidi kwa muda mrefu. Hii hutokana na kulegea kwa valvu inayotenganisha koo la chakula na tumbo la chakula ( stomach) au uwazi kwenye tumbo na koo( hernia). Hivyo basi anashauriwa aonane na Daktari mzuri wa upasuaji wa tumbo ( Gastric Surgeon) amfanyie kipimo cha kumezeshwa ambapo km uwazi ni mkubwa unaweza kuzibwa kwa upasuaji unaitwa LNG.

Kumbuka km uwazi ni mkubwa zaidi sentimeta 7 hawezi kupona bila kufanyiwa upasuaji
 
Acha kula vyakula vya kukaanga, soda, juice za viwandani.
Tumia yoghurt, maji ya bamia, chai ya tangawizi na limao.
Usikae na njaa, pia kula kidogo kidogo.
 
Sawa tatizo kubwa Zaid la vidonda vya tumbo ni kuzidi Kwa acidic mwilini kwaiyo nilipata kitu kilicho nisaidia. Kuongeza alkaline na Hali ya vidonda vilipona kabisa hata Sasa kila kitu nakula kama awal.
Kitu gani hicho mkuu naomba kujua wengine tuwe sawa kama wewe mwisho wa siku
 
Wife wangu alikuwa navyo vimemtesa sana sana ,kuna dawa ameitumia vimepotea mpaka amebeba na ujauzito,Kama uko Dar nitakuelekeza uende uchukue dawa unywe
Hebu toa hyo dawa watu waijue au kama vp waje in-box maana ugonjwa huo ni janga la taifa.

Mimi huwa nashangaa wabongo,wakijua kitu ni vigumu kuwapa wengine maarifa hayo,kwani kusema dawa kuna shida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom