Vidonda kwenye ulimi

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,315
2,000
Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu
 
Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,684
2,000
tafuna karafuu au mdalasini utapona au eka unga wake hapo kwene kidonda asubuh na ucku cku 6
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,485
2,000
Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu
Tafuta Asali mbichi uwe unapakaa kwenye hivyo vidonda asubuhi, mchana na usiku kwa muda wa siku 7 utapona. Kama hujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
9,952
2,000
Ulimi umechubuka na vidonda vimetokea nashindwa kula vizur maana chumvi ikigusa balaa.ilianza kama kipele kidogooo kikaacha kidonda na kila cku kidonda kinakua kila siku.naomba kujua tatizo hili kitaalam linaitwaje,linasababishwaje na tiba yake nn..naomba msaada ndugu zangu
Jambo afande???Mimi nilitumia mult vitamin
 
salome peter

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
380
250
Tafuta metronidazole oral gel na usafishe kwanza na hydrogen peroxide 3% unanichanganya nusunusu yaani kumfuniko chake jaza mara moja na dawa mara moja changanya sukutua tema halafu paka hiyo gel, nina vidonda vya tumbo acid ikiwa nyingi hivyo vidonda hutokea prof mmoja wa kcmc alinieleza vizuri pathophysiology ya hicho kitu related na vidonda vya mdomoni ni kitaalamu zaidi nashindwa kueleza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom