Vidonda kwenye ulimi

Oct 3, 2022
28
17
Msaada wa dawa jaman nina vidonda kwenye ulimi yapata wiki sasa nashindwa kula vinauma mno
IMG_2952.jpg

IMG_2952.jpg
 
Jaribu Nystatin syrup.
Na vitamin c
Jiepushe na masuala ya kula visivyolika. Acha viumane venyewe
Tumia hii dawa mkuu huwa wanatoa kichupa kimoja wewe tumia 2 ama 3 mm nliugua hii kitu asikwambie mtu. Hao n8 candidas wadudu wa kwwnye mbunye, wanahamia mdomoni mdomo unanuka mbunye halafu ladha inaisha
 
Kama ni upungufu wa vitamins jaribu kutumia Ascobic Acid inasaidia sana.
Ila kama unazama chumvini acha mara moja niliwahi zama nikatokewa na vidonda mdomoni maumivu yake sio mchezo
 
Nyie huyu ni mdada so msimsingizie kuzama uvinza.😉🤐
Nilijuwa tu hapa watakusingizia ati ulishika koni.
pole kama ni vidonda vya kawaida sukutua chunvi au med oral.
 
Tafuna tangawizi mbichi, ni kali chungu lakini ni dawa nzuri sana kwa vitu kama hivyo, na huwa vinaambatana na madonda koo
 
Nyie huyu ni mdada so msimsingizie kuzama uvinza.😉🤐
Nilijuwa tu hapa watakusingizia ati ulishika koni.
pole kama ni vidonda vya kawaida sukutua chunvi au med oral.
Kuna wadada wanazama uvinza
 
Mi uvinza Huwa nazama ila nikimaliza nasukutua Ile mouth wash inaitwa Listerine yenye mint sijawahi pata hizo vidonda.
 
Tumia hii dawa mkuu huwa wanatoa kichupa kimoja wewe tumia 2 ama 3 mm nliugua hii kitu asikwambie mtu. Hao n8 candidas wadudu wa kwwnye mbunye, wanahamia mdomoni mdomo unanuka mbunye halafu ladha inaisha
what a mess. Mfs are suffering because of the woman
 
Back
Top Bottom