Vidonda kwenye koo vinaniumuza

Vidonda kwenye koo vinaniumuza

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
113
Habari zenu wadau wapendwa wa JF?

Naombeni msaada was ushauri was kitabibu tafadhali

Mpaka hivi leo ni zaidi ya week moja na ziada nimekuwa nikipatwa na maumivu kwenye koo especially nikiwa nameza mate, kula chakula kama vile mchele au kitu chochote chenye kukwaruza huwa kinanpa maumivu ambyo nahisi kama kuna vijidonda kwenye koo yangu ambvyo vinatoneshwa na vyakula hivyo

Kwa yeyote anayefahamu sawa either za asili au artificial kwangu yote kheri ili mradi nipone 2 maana sikifurahii chakula sasa.
 
Jaribu kuchukua majivu changanya na chumvi jipitishie kwa kidole pia unaweza kutumia kuna mti flani unatoa utomvu naufahamu mimi kwa jina la mbono sijui kwa wengine unafahamika vipi nikipata picha yake nitaweka
 
Una dalili za homaa wai osipitalini ...uanzishiwe dozi Asaap
 
Fika hospitali yenye specialist wa maskio, pua na koo utapata msaada.
 
Back
Top Bottom