Msaada: Nahisi maumivu kwenye koo

Msaada: Nahisi maumivu kwenye koo

Kingdan

Member
Joined
May 5, 2020
Posts
61
Reaction score
49
Habari zenu Wana jf wenzangu,

Naomba mnisaidie, nina shida moja yaani nahisi maumivu kwenye koo, kuna ugumu wa kumeza kitu ila mwili uko poa tu. shida ni hiyo hata nikimeza mate nahisi maumivu.

Naomba mnisaidie shida inaweza ikawa ni nini, na nitaponaje tatizo hili wapendwa?
 
Mie hiyo hali ilinitokea jana, nilichokifanya nilikuwa nakunywa maji ya moto yenye chumvi kila baada ya nusu saa + punje moja ya kitunguu saumu + maji ya kunywa (mengi).

Kabla ya kulala usika nikashushia kikombe cha tangawizi + limao...Nimeamka asubuhi hakuna maumivu hata kidogo. Fanya hivyo hiyo hali itaondoka.
 
Mie hiyo hali ilinitokea jana, nilichokifanya nilikuwa nakunywa maji ya moto yenye chumvi kila baada ya nusu saa + punje moja ya kitunguu saumu + maji ya kunywa (mengi)....Kabla ya kulala usika nikashushia kikombe cha tangawizi + limao...Nimeamka asubuhi hakuna maumivu hata kidogo. Fanya hivyo hiyo hali itaondoka.
safi sana[emoji818][emoji818][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pharyngitis hiyoo mkuu.....Kunywa Prednisolone, Cetrizine na Amoxyclav mwisho wa mchezo.......Zikidunda Go And Check COVID19
 
Mie hiyo hali ilinitokea jana, nilichokifanya nilikuwa 5 nakunywa maji ya moto yenye chumvi kila baada ya nusu saa + punje moja ya kitunguu saumu + maji ya kunywa (mengi)....Kabla ya kulala usika nikashushia kikombe cha tangawizi + limao...Nimeamka asubuhi hakuna maumivu hata kidogo. Fanya hivyo hiyo hali itaondoka.
Nashukuru
 
Ngoja nikwambie ukweli: Hizo ni moja ya Dalili za Corona haina haja kufichana.....Jitenge Chukua Tangawizi, Kitunguu swaumu na Limao...na asali ukipata tumia kutwa mara 6 ndani ya siku saba.
 
Back
Top Bottom