Videos: Maneno ya Trump ya chuki dhidi ya Ilhan Omar 😂

Videos: Maneno ya Trump ya chuki dhidi ya Ilhan Omar 😂

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
5,895
Reaction score
11,788
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii

Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk. Inaonekana Trump anaumia sana kuona huyu mwanamke bado yupo USA na ni jeuri kupindukia

Sikiliza maneno ya Trump dhidi ya Ihan Omar. Simkubali Ilhan wala Trumpi ila kila nikiangalia hizi video huwa nacheka tu, bifu la Trump na Ilhan Omar linafurahisha 😂😂

Huwa naipenda Marekani kwa sababu ni nchi ambayo haiishiwi matukio 😅

.
.
Hii video ya mwisho imepostiwa na Ilhan Omar mwenyewe siku za karibuni kama response yake kwa Trump 👇👇
 
Ilhan omar ni islamist.

Kawaida yao wanakuwa hawana fadhila pia wanakuwa extreme.

Pia ni nzao ya sera za chama cha kidemocrat kuruhusu uhamiaji holela ili kujipatia wapiga kura wengi.

Biden alirusu watu 10mn kuingia kiholela kwa miaka minne kupelekwa kuongezeka kwa uharifu na ubakaji
 
Ilhan omar ni islamist.

Kawaida yao wanakuwa hawana fadhila pia wanakuwa extreme.
Basi ndio maana Trump anamchukia, kiukweli ukienda nchi za watu ni vyema kufuata tamaduni zao na sio kulazimisha kuinsert tamaduni zenu kwao
 
Basi ndio maana Trump anamchukia, kiukweli ukienda nchi za watu ni vyema kufuata tamaduni zao na sio kulazimisha kuinsert tamaduni zenu kwao
Hakika,

Chama cha democrats kimekuwa ni chama cha kikomonisti kimtindo na kuruhusu wahamiaji kiholela ili wajipatie kura ndio maana watu kama ilhan wamekuwa na kiburi
 
Ilhan omar ni islamist.

Kawaida yao wanakuwa hawana fadhila pia wanakuwa extreme.

Pia ni nzao ya sera za chama cha kidemocrat kuruhusu uhamiaji holela ili kujipatia wapiga kura wengi.

Biden alirusu watu 10mn kuingia kiholela kwa miaka minne kupelekwa kuongezeka kwa uharifu na ubakaji
Kupinga sera za Trump tayari ni islamist na asiye na shukrani.

Hata Trump ana asili ya uhamiaji .
 
Kupinga sera za Trump tayari ni islamist na asiye na shukrani.

Hata Trump ana asili ya uhamiaji .
Ilhan ni islamist.

Haya mambo hauwezi kujua kama hauko deep in geopolitics.
 
Trump anaongozwa na chuki tu hamna jingine hapo.

Hata yeye (Trump) ni kikazi cha wahamiaji, Baba yake Trump alikuwa Mjerumani asilimia 100 na mama yake akitokea Scotland.
Ni kweli Trump ni mtu mwenye chuki ila hata huyo Ilhan Omar naye amezidi sana
Yeye ni congresswoman wa Minnesota ila kila mara kwenye speech zake kazi ni kutetea Uislamu na wasomali tu. Mambo ambayao hayana uhusiano na USA. Anatakiwa a-serve interest za raia wa Marekani, sio wasomali. USA is not Somalia
 
Unamuonea bure tu.

Yeye ni msomali na muislamu, hawezi kukaa kimya na kuacha kuisemea jamii yake inayokabiliwa na unyanyasaji kutoka kwa utawala wa Trump kisa asili yao.
 
Wote wahamiaji...
Wote wana haki ya kuishi nchi hiyo, haijalishi dini, rangi ya ngozi au jinsia..
 
Unamuonea bure tu.

Yeye ni msomali na muislamu, hawezi kukaa kimya na kuacha kuisemea jamii yake inayokabiliwa na unyanyasaji kutoka kwa utawala wa Trump kisa asili yao.
Anyway, ningependa kuona mwisho wa Ilhan na Trump utakuwaje
Lakini pia nani atawasemea wazungu na blacks wa Minnesota kama congresswoman wao amefocus na Wasomali na waislamu 24/7
 
Huyo unayemsifia kawaponza sana wenzake, wengine wamerudishwa kwao kuna pesa zimetaifishwa kwa hiyo hasara no kubwa kuliko faida na sasa hivi wapiga kura wake wanaondolewa
 
Huyo unayemsifia kawaponza sana wenzake, wengine wamerudishwa kwao kuna pesa zimetaifishwa kwa hiyo hasara no kubwa kuliko faida na sasa hivi wapiga kura wake wanaondolewa
Sorry, nani nimemsifia humu?
 
Back
Top Bottom