Uzi mzuri sana ningependa kumpongeza aliyeuleta. Naomba kujua format nzuri ya kurenda kwenye Vegas 12. Ili kupunguza size za clip.
Maana kila nikirenda kupata AVI unakuta size ya video ni kubwa mno na kwa mp4 ndio usiseme.
Au kuna application maalumu ya kupunguza size lakini quality ikabaki ile ile?.