Videos & Audio production special thread (Softwares)

Videos & Audio production special thread (Softwares)

wakuu salam.
mi nime install vizur kabsa purity na nexus kwnye machine yangu lakn nkienda kweny fl sizikuti kabisa, hadi nafanya "scan and verify" lakn bdo hazionekani kwnye list! nimejaribu week nzima mpaka nimechoka, nifanyaje au nazikuta wap?
 
Habarini wakuu humu ndani?
Naomba mwenye software ya Corel studio X6 au x5 kwa ajili ya kueditia video, aliye nayo Pm Tafadhali.
 
wakuu msaada plz
Camtasia Studio 8.6.0.2079 serial key
nitashukuru sana
 
wakuu msaada Wa mambo mawili..
1.anayeweza kunifundisha Kurekod audio kwa fl studio ...tuwasiliane..
2.na msaada Wa software rahis ya kuedit videos
kama lipo group la mambo ya audio production naomba mniad..
0688 990 975
 
Kwanini usitumie za kawaida kama wenzako ?
Huoni ndio utapata stuff kubwa ya kujua mengi ?
Zipo kina Cubase most frequently used, fl ni wachache wanaoingizia vocal
 
wakuu salam.
mi nime install vizur kabsa purity na nexus kwnye machine yangu lakn nkienda kweny fl sizikuti kabisa, hadi nafanya "scan and verify" lakn bdo hazionekani kwnye list! nimejaribu week nzima mpaka nimechoka, nifanyaje au nazikuta wap?
unavo instal zilocate kwenye folder la vst kule kwenye program file au folder la image line tafuta vst folder,
 
nauza DVD za program na vst plugin za beat (fl studio) na vocal (adobe,nuendo,cubase,presonous,soundforge,audacity n.k) dvd zipo 2,zote ni tsh 25000 pia kuna sample kibao (kick,snare,hats,strings,loops,drums)
za kina dre,g unit,ymcmb,switz beats,ice cube n.k
0719698698
 
Camera gani nzuri na ya bei rahisi na microphone nzuri ni ipi? Ni kwaajili ya kurecodia video za you
 
Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!
mi pia ni miongoni mwa beat makers. Sijui chochote kuhusu upigaji wa piano wala guiter ila kwa experience yangu ya usikilizaji mziki naweza nikanyoosha keys na ikatoka beat.
Tatizo moja kubwa ni kwamba hunichukua muda mwingi kuweza kukamilisha beat moja.
 
Mie nisaidieni kwenye after effects.....kazi za effects zake baadhi zinafanya effect gani?
nyingi sana,uzuri wake unachotaka kufanya ndicho itakachofanya. unaweza kumfanya mtu awe na macho yanayowaka,kumkata kichwa,kutengeneza radi,bomu,mvua n.k
 
mi pia ni miongoni mwa beat makers. Sijui chochote kuhusu upigaji wa piano wala guiter ila kwa experience yangu ya usikilizaji mziki naweza nikanyoosha keys na ikatoka beat.
Tatizo moja kubwa ni kwamba hunichukua muda mwingi kuweza kukamilisha beat moja.
Jifunze mziki sasa mkuu! Bongo shule chache ila unaweza kujifunza hata online, Kuna vitu huwezi kufanya japo mwenyewe unasema unanyoosha keys, Keys sio ya kunyoosha, hainyoosheki, labda unaweza kunyoosha Melody, Keys tunasema ni ufunguo wa sauti Tu!
 
Ofcoz ni melodies, ntajifunza mzee si unajua nafanya kama hobby!
 
Back
Top Bottom