King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,051
- 98,268
JF zimejaa tele
No Reforms No ElectionUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Nani anayepiga simu hizo?Kama JF zipo basi ni kheri waziache maana muda huu calls zinatembea kwa ma-admini wa youtube wenye video wazifute.
Nani anayepiga simu hizo?
Link tafadhliJF zimejaa tele
Link ya nini na upo hapahapa, fungua nyuzi zake tuLink tafadhli
Zisharekodiwa dunia nzimaZimbakia tatu tu youtube nzima ,nazo ni matter of times zitafyekwa.
Labda wamekwenda kumsakaUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Labda wamekwenda kumsakaUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
Ayaaaaaaaaaa, zipoUmuofia Kwenu wana JF,
Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa.
View attachment 3344333
hahaa,huyu mdau anachekesha kweliLink ya nini na upo hapahapa, fungua nyuzi zake tu