Mods: Naomba hawa watu wanaolazimisha traffic kwa kuweka video ambazo lazima u-visit blog yake, mzifute mara moja. Naamini kunauwezekano wa kucheza moja kwa moja kwa video hapa JF bila kupitia mablog hasa hiyo vimeo. Naomba sana hii kitu inanikera sana. Najua nawao ni watafutaji but waende correct platform yaani matangazo ya biashara. Asante.