Video ya Yemi Alade ‘Na Gode’ Swahili Version

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Hii video ya Yemi Alade ya wimbo wake wa kiswahili ‘Na Gode’ .Video inafanywa na cinematographer Paul Gambit.
 
Hahaha~ Le akili kubwazzz ndio amemwambia aimbe 'Hata Okikosaa okissaaa, Sema Asandeee... kweli yee ni Mungu.. Na Okipataa okipaaata seema asandeeee"..

Well, on a serious note: Aliyesaidia kufasiri huu wimbo ni jamaa wa kundi la Sauti Sol - Kenya..YEMI ALADE KUIMBA KWA KISWAHILI?


"na okikosa okikosa sema asandee"
na okikosa okikosa sema asandee

Yeye ni Mungu,
Wewe sema asandee Kweli Ye ni Mungu Yemi Alade.
 
Inspirational song. Mshukuruni Mungu kwa kila jambo, kwa maana hayo ni mapenzi yake.

"Maana mtini hautachanua maua, Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda; Taabu ya mzeituni itakuwa bure, Na mashamba hayatatoa chakula; Zizini hamtakuwa na kundi, Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng'ombe; Walakini nitamfurahia Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu." - Habakuki 3:17-18
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom