Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

Sema huwa kuna ka-feeling flani hivi kenyewe sana

Hii ishawahi nitokea sana na mwanamke anakuletea mzigo wote uishi nao
Usiombee yakukute mimi ilishawahi nitokoea halafu ilikuwa haina jinsi wala sehemu ya kujigeuza uukwepe mzigo, nilikuwa sina lengo baya lakini na nikajisemea nisiconcetrate na kinachoendelea lakini wapi nyanya zimeshakuwa connected na mineso ya gari ikawa hatari kabisa hadi kuna mwamba pembeni akawa anaona gere.

Alivyoshuka abiria mmoja tu nikatafuta upenyo nikae sehemu salama ili mambo yasiwe mengi ila ingenikuta enzi za ushetani lazima ile fursa adhimu ningeitumia ipasavyo kishetani.
 
Alafu dem alijua tu jamaa kadinda Akaona na ye ajibinue dah 🤣🤣
 
😊😊😊😊😊 Mbinguni mbali Sana wakuu
 
Kuna choir ya kikatoliki inaimba dunia hupendi watoto..

Kizazi cha watu wasio na maadili kabisa cha kushangaza michezo hii kwa wabambiaji wanawafanyia wanafunzi mpaka wanaume, upuuzi mtupu. .
Mkuu upo serious Kuna wanaume wanabambiwa ? Kiaje yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…