VIDEO: Waziri wa fedha wa Nepal akikimbizwa mtoni na waandamanaji wenye hasira kali wakati wa maandamano ya kupinga ufisadi

VIDEO: Waziri wa fedha wa Nepal akikimbizwa mtoni na waandamanaji wenye hasira kali wakati wa maandamano ya kupinga ufisadi

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,482
Maandamano ya vijana wa kizazi kipya (Gen Z) nchini Nepal yaligeuka ya vurugu zaidi Jumanne, baada ya waziri wa sasa wa Mambo ya Nje, Arzu Rana Deuba, na mumewe, waziri mkuu wa zamani mara nne, Sher Bahadur Deuba, kushambuliwa vibaya jijini Kathmandu.

Waandamanaji walivamia makazi ya Deuba na kuwapiga teke na kuwashambulia wote wawili. Hata hivyo, mashuhuda na video zilizorekodiwa kutoka eneo la tukio zinaonyesha pia kulikuwepo kundi jingine la waandamanaji lililojaribu kumlinda Arzu Rana wakati wa mashambulizi hayo.

Tukio hilo limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu kiwango cha ukatili kinachoendelea kushuhudiwa katika maandamano yanayokumba taifa hilo, huku ghasia zikienea na malengo ya waandamanaji sasa yakilenga moja kwa moja viongozi waandamizi wa kisiasa.

Hii ndiyo dawa ya mafisadi,wezi na viongozi wanaopenda kujilimbikizia mali kinyume cha utaratibu wa kisheria.

Mkewe huyu waziri wameshampiga moto tayari na yeye pengine watamuua huko huko mtoni.

Gen Z wa bongo amkeni msipende kumuachia mungu mambo ambayo mnapaswa kuyaondoa kwa mikono yenu.
 
Kuna Gen z tanzania kweli?
 
Natamani kusema wapo lakini kila nikitazama upumbavu tunaofanyiwa na viongozi wetu nachelea kusema hakuna.
Unataka nani akupiganie kama sio wewe mwenyewe maana hapo umejitoa kama wewe sio mtanzania na unaona huo upumbavu wa viongozi ila umekua keyboard warrior kukaa humu kutupa lawama Kwa wenzio hili ndilo tatizo la watanzania wengi
 
Back
Top Bottom