Obama alipomkuta Malkia kwenye mlango wa nyuma kulia yeye akaamua kuzunguka upande mwingine. Wakati anajiandaa kuingia upande wa kushoto akamuona malkia anakuja ule upande wa kushito, kwani huu upande wa kulia tayari malkia alijua amemoisha Michel Obama.
Baada ya kuona Michel ameshaingia halafu Malkia anakuja ndipo Obama akasita kuingia, ndipo yule jamaa pale mlangoni alipomuelekeza apande mbele...the women wanted to be alone at the back na ukichukulia gari ilikua ikiendeshwa na sijui mtoto/mume wa malkia.
Hapo hapakua na suala la Obama kugoma wala nini.