CCM haijapitia misukosuko mjuba, ccm iko kwenye raha zake na inafanya kampeni freshi tu licha ya kuwepo kitisho hewa cha maandamano. Huo umati unaouona ni wa kwenda kuangalia burudani tu, si sera, hao hawajui kitu kinaitwa sera, kama wangejua sera hata vyama vingine vingejaa watu wanaosikiliza sera zao