Video: Wanajeshi wakipiga nyungu

Nimekumbuka tanuru la moto kama hili mara ya mwisho lilitumika karne za nyuma kwenye utawala wa mfalme nebkadreza kuwa dump Shedrak meshack na ebednego
Mimi nilivyoanza kuangalia mwanzo nilifikiri ni adhabu za kijeshi!
 
Hii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?
kwani mkuu chanjo wanazo lazimisha kila kiumbe apate zimejaribiwa wapi na ikaonyesha kuwa tiba?Time hii ni kufanya unachoona kwako kitakusaidia.No one to save you.It's you and you alone
 
kwani mkuu chanjo wanazo lazimisha kila kiumbe apate zimejaribiwa wapi na ikaonyesha kuwa tiba?Time hii ni kufanya unachoona kwako kitakusaidia.No one to save you.It's you and you alone
unaziita ni chanjo za kulazimisha?Mbona Tanzania haikuzikataa chanjo za kulazimishwa za polio pamoja na ndui?Unaelewa kuwa kama siyo chanjo gonjwa la ndui lilikuwa na mpango wa kuingamiza dunia nzima?Uliwahi kusoma historia ya gonjwa la ndui?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuziponda chanjo!
 
Hii njia ya kujifukizia imejaribiwa wapi na lini ikaonyesha kuwa ni tiba yenye mafanikio katika kutibu Corona?
From time immemorial na ma ancestors. Subiri kuwekewa ventilator kama unao uwezo wa kuimudu gharama yake.
 
Ndio ni chanjo za kulazimisha.Hazina matokeo mazuri hadi sasa.Zingekuwa effective ilikuwa haina haja kuwaogopa wasio chanjwa.Hii ni biashara kama biashara zingine.Pia Acha kuishi kwa historia.Mtu akiwa mwema kwako jana haina maana atakuwa mwema kwako kesho.Hizo ni mbinu za mezane ili ujae kwenye nyavu sawa na kumpa kuku mahindi ili azidi kukusogelea akiamini unamjali na kumlisha,Atashtuka yuko juu ya mkaa akibanikwa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…