Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Nimekuwekea hapo juu kaka umeziona?Mmhm.. Mbona hakuna links yoyote ya video hapo?
Ndio nini, sema usikike.!!!!!????
Naam Kamanda! Naendelea kuziangalia...Nimekuwekea hapo juu kaka umeziona?
ni kweli,halafu mbona poa tu wameeleweka kabisa,naona kanumba kule south alichachawa tu lakini kingereza chake wala si kibaya kiivyoEnzi hizo tulipo kuwa form 3 walikuwapo mabingwa wa Kiswahili cha kuongea na kuandika. Cha ajabu sikuona mtu akichekwa kwa vile kiswahili chake ni nyanya.
Ni ajabu sana kuona watu na shule zetu tunacheka wasanii wanaojieeleza kwa kiingereza cha kusuasua.
Kiingereza siyo lugha rasmi ya mawasiliano Tanzania, Kiingereza ni lugha tunayo lazimika kuongea pale tutakapo pata elimu ya juu au katika biashara.
Kwa wastani wasanii hawa wanaongea kiingereza average kwa watanzania wa kawaida na hata wale walo kaa UK na US kwa muda mrefu na kuishia kujifunza kiingereza cha matusi na kile cha mitaani.
Kwa kweli amejitahidi sana,kaeleweka na kaongea kwa kujiamini. Iddi Amini alikuwa na kiinglish cha ajabu lakini alieleweka mbele ya madaktari, mikutano ya kimataifa na wananchi wake.ni kweli,halafu mbona poa tu wameeleweka kabisa,naona kanumba kule south alichachawa tu lakini kingereza chake wala si kibaya kiivyo
Kaka hapo pekundu hahitaji kuwa kama mwingereza wakati yeye ni Mtanzania,hapo umekosea. Marais wa Ufaransa,Libya,Russia,China na wengineo wametumia Lugha zao ku address U.N GENERAL ASSEMBLY kwa lugha zao na nahisi kuna wengine hata kiingereza hakipandi lakini hakuna aliyewazomea au kuwaambia kwa nini wasiwe kama Waingereza?. Jivunie Lugha yako mengine ya baadaeAcheni kumdekeza Kanumba.
Kanumba wee Ngosha acha kulialia uonewe huruma.
Nenda kafanye hizo KOZI hasa kuongea na amini nakuambia kila sehemu utakayofika, hutahitaji kujichekeshachekesha na kusema YOU KNOW nyingi. Unafahamu Kiingereza siyo siri ila hujafanya maongezi mengi ya Kuongea. Tafuta shule na zipo kibao au hata waalimu wa kukufundisha watakufuata hata kwako so longer you pay them.
Muone huyu dada, tena alikuwa binti mdogo saana wakati anafanya maajabu haya. Kilikuwa hakifahamu kabisa Kiingereza maana kinatoka Canada ya Wafaransa. Alijifungia ndani miaka miwili na alipotoka, huwezi amini alikuwa hafahamu KABISAA English. Kanumba na wenzako, tafuteni shule mpate mazoezi ya kuongea. Wengine nao watafaidika kupata kazi na nyinyi mtaweza kuimba, kuongea kwa Kiingereza kama Waingereza wenyewe. Kila kitu chawezekana dunia ya leo kama mna nia.
http://www.youtube.com/watch?v=Nk6LV5pC13Q
Kaka hapo pekundu hahitaji kuwa kama mwingereza wakati yeye ni Mtanzania,hapo umekosea. Marais wa Ufaransa,Libya,Russia,China na wengineo wametumia Lugha zao ku address U.N GENERAL ASSEMBLY kwa lugha zao na nahisi kuna wengine hata kiingereza hakipandi lakini hakuna aliyewazomea au kuwaambia kwa nini wasiwe kama Waingereza?. Jivunie Lugha yako mengine ya baadae