Chukua ramani yako ,cheki israel ilipo,cheki iran ilipo,na utaona kwanini iran aliamua kutengeza landbridge kutoka iran,kupitia iraq hadi syria na hatimae golan,lengo la iran ilikuwa in case ikatokea vita kati yake na israel,
iran walitaka kuestablish two frontline mpakani mwa israel,kwa maana ya kuwepoi na frontline lebanon kusini,na pia kuwepo na frontline pale quinetra syria,na pia sasa wamentain supply line,
hicho ndo kiliwashitua iasrael,
israel anajua kutoka israel mpaka iran karibu km 2500 na kuwa ili ndege za israel zifike iran kupiga zinahitaji kufanya refuelling,
nchi pekee inayoweza kukubali kufanya refueling ni saud,
hata kama wakitumia tanker,lazima wawe na plan B,kwani Tanker halinaga ulinzi,likipigwa na kuangushwa,it means ndege zote zilizo kwenye operation zitadoda na kuishia mafuta na kudondoka tu,
kwahiyo saud anajiamini,anaweza kumkubali kumpa mafuta na kama kituo cha kutua baada ama kabla ya operation,
ukicheki saud ilipo,saud ni sitting target kwa iran,iko ng'ambo tu ya persian gulf,iran haihitaji nguvu nyingi kuiharibu saud juu ya proximity,
tatizo israel hana uwezo wa kudrop troops ndani ya iran,lakini kwa upande wa iran tayari na vikosi mipakani mwa israel na syria,lebanon,gaza

Saud ni tajiri kuzidi iran,na ina air defence ya kisasa toka marekani,
lakini scud za myemen kila siku zinapenya,
sasa just imagine kama makombora moja moja ya myemen yanatua saud,
vipi kama iran anafyatua makombora ya masafa mafupi ndani ya saud?,
vipi kama iran troops watafanya landing pwani ya saud,
hii ndo sababu imeifanya saud arabia kuzindua project yake ya nuclear ili waweke deterrent dhidi ya iran,
actually uadui wa saud na iran ni mkali kuliko ule wa iran na israel
@MASAMILA,saudi iko very well armed,airforce ya saud kwa vifaa iko karibu sawa na ya israel,
sasa jiulize kwanini wanashindwa kuiteka bandari ya Hodeyda kule yemen?,
wana kila kitu,kila kifaa cha kisasa cha kivita lakini kwa mwaka wa pili ili bandari wameshindwa kuiteka,na wanatumia hadi askari wa kulipwa,makomandoo wastaafu wa kimarekani,sudan,pakistan,misri etc,
wamesharibu mara kadhaa kuland pale na kila mara wanaishia kutekwa na kumalizwa,
so how do you land in iran,
taifa ambalo limejiandaa kwa hiyo scenerio kwa miaka karibu 30?
aah wap saudia kafeli plan yake tuNadhani hiyo vita ya Yemen hakujawa na useriuos mkubwa.
Nadhani hiyo vita ya Yemen hakujawa na useriuos mkubwa.
Unaweza ukatoa ushahidi wa madai yako mkuu?VITA SI LELEMAMA MKUU, UNAPOTEZA HELA NYINGI SANA, UNAPOTEZA WANAJESHI NK, WASIMUIGE MAREKANI, MAREKANI HUWA ANAVAMIA KWA MASLAHI NDIO MAANA ALIPOMALIZA IRAQ ALIIBA MABILIONI YA DHAHABU NA MAFUTA, AKAIBA MATRILION YA HELA ZA IRAQ KWENYE BANK, ALIFANYA UCHAFU MWINGI SANA KWA KUJIAMINI
Kajambe mbele hahahaPumbavu kweli unataka kulazimisha kila mtu aipende Iran?
Wewe ndo jinga hasa,let everyone walk his choice.
Kama Iran ana nguvu hizo aende kuivamia Israel na kuikomboa Jerusalem kisha awape Palestinians.
Halafu hiyo video ni Photoshop,wewe umejaa ushabiki hata akili huna.
Hakuna taifa lolote duniani iwe US au Russia lenye uwezo wa kurusha Ballistic missiles 100,000 kwa dk 7.
Kwanza unajua maana ya Ballistic missiles? Unajua gharama ya Ballistic missile moja?
Na hakuna taifa lolote Duniani linalomiliki Ballistic missiles 100,000.
Kawadanganye watoto wenzako.
Wasiokuwa na marinda utawajua tu,wakuu naomba mnisaidie hivi irani ni mwarabu au ni mwajemi?
Ukipata jibu unitag, maana nakuona unawashwa washwa.
We jamaa una mihemko mibaya sana bongo ni kitu gani kwa israel? Umeambiwa ubalozi ni symbol ya khalalisha taifa? Israel wanatuzidi kila kitu mpaka kunya mkuu
Wewe unamahaba na Iran ***&%#@We jinga kweli
How stupid you are
Una chuki dhidi ya iran wewe
Waishambulie kwa sababu gani? Iran wanatishia usalama wa USA? How?WAULIZE USA KWA NN HAWAISHAMBULII IRAN?? ALAF UTAPATA JIBU
Mimi nanya mkuu ila namshangaa huyo jamaa anaelinganisha Tanzania na Israel wakati misri tu hatuifikii hata robo ambayo kwa israel (kimaendeleo) si lolote.Mkuu kwahiyo wewe hunyi!! Aise kumbe uko peponi eee,,,raha sana π