Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Chukua ramani yako ,cheki israel ilipo,cheki iran ilipo,na utaona kwanini iran aliamua kutengeza landbridge kutoka iran,kupitia iraq hadi syria na hatimae golan,lengo la iran ilikuwa in case ikatokea vita kati yake na israel,
iran walitaka kuestablish two frontline mpakani mwa israel,kwa maana ya kuwepoi na frontline lebanon kusini,na pia kuwepo na frontline pale quinetra syria,na pia sasa wamentain supply line,
hicho ndo kiliwashitua iasrael,
israel anajua kutoka israel mpaka iran karibu km 2500 na kuwa ili ndege za israel zifike iran kupiga zinahitaji kufanya refuelling,
nchi pekee inayoweza kukubali kufanya refueling ni saud,
hata kama wakitumia tanker,lazima wawe na plan B,kwani Tanker halinaga ulinzi,likipigwa na kuangushwa,it means ndege zote zilizo kwenye operation zitadoda na kuishia mafuta na kudondoka tu,
kwahiyo saud anajiamini,anaweza kumkubali kumpa mafuta na kama kituo cha kutua baada ama kabla ya operation,
ukicheki saud ilipo,saud ni sitting target kwa iran,iko ng'ambo tu ya persian gulf,iran haihitaji nguvu nyingi kuiharibu saud juu ya proximity,
tatizo israel hana uwezo wa kudrop troops ndani ya iran,lakini kwa upande wa iran tayari na vikosi mipakani mwa israel na syria,lebanon,gaza
Saudi nao ni mapunguani kwamba wakae tu wakati huyo Iran anarusha makombora au
THAAD ipo, kudili na makombora sio ishu labda useme na makombora nayo hao Iran wanayo makombora stealthy