Video: Usain Bolt akicheza Samba baada ya press conference in Rio

Video: Usain Bolt akicheza Samba baada ya press conference in Rio




Huu ni ukukaji wa haki za binadamu...tehtehtehteh wanawake wanadhalilishwa kabisa kwa ngoma hii...haki za binadamu wako wapi jamani humu JF na kwingineko??? Hampo??? tehtehtehteh
 
TCRA mko wapi mkawafungiehao watu hiyo ngoma! Nape uko wapi?
 
Wajameni kwaherini nahamia Brazil. It was nice to be with you all these years. ADIOS!!!
 
Back
Top Bottom