Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Last edited by a moderator:
Huyo Mbowe hafai kuongoza hata kidogo bora kura yangu nimpe Amina
Utani wa hivi mnaweza kufikishana mbali, kama kuna ukweli vileE bana, sijui nani aliyeandika hii script! Labda ana utani na Mbowe.
Hapana mkuu, usijinipiganisha na mbowe:smile-big:HARUFU au ndo wewe uliondika hii script nini?