Ina maana huyo Sheikh Kassim alikuwa anawaambia Wa-Islam wajiripue?! Moja ya akili mbovu zilizopo hapa JF ambae unatakiwa kujionea aibu wewe mwenyewe!!!Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa kwa milipuko ya kidini sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini?
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunalaani na kukemea uwepo wa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa kwa milipuko ya kidini sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kaongea mambo mengi, ni lipi hasa unaona kaongea na kusababisha kukamatwa kwake?Kama kweli Lowassa aliongea hivyo mbona walichelewa sana kumkamata huyu mtu!
Ww umeona hilo?

"....msiwe baridi........."-E.L.Mimi sioni kasoro yoyote katika kauli yake, bado ukweli upo pale pale mashehe waachiwe, haki za binadamu zinakiukwa
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunalaani na kukemea uwepo wa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameongelea vurugu na taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kulazimika kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa kwa milipuko ya kidini sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kiongozi mkuu aina yake kwanini atoe lugha za mafumbo kwenye kadamnasi?Ya kujilipua ni mawazo yako. Lugha inaweza kuwa ya kwenda UN, AU kutoa malalamiko. Mahakamani kudai wafikishwa mahakamani/ kesi ifutwe etc! Kwa nini mnakimbilia kwenye upuuzi wa kujilipua. Unadhani Lowasa anaweza kuwa na mawazo ya kujilipua?
Kuwa moto ndiyo kukoje?"....msiwe baridi........."-E.L.
sikiliza kuanzia 1.44 na shirikisha kidogo akili utamuelewa!
Kwahiyo ktk akili yako lugha nyengine ni kujilipua tu.? Hivi nyie watu wa CCM mbona hamna busara! Mbona mmekaa ki shali shali tu. Hivi kauli ya kuzungumza lugha nyengine na kauli ya tutawashulikia ipi ya uchochezi? Huu ubaguzi mnaoupalilia huu, ohooo! Kumbukeni kwa kauli yenu wenyewe kuna kura milioni 6 !! Msije mkalaumu upnzani kumbe nyie ndiyo mna fujo.