Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Project zinazofanywa Vyuoni haswa kwa kada za Uhandisi (Engineering) kufanywa na wanachuo ni kuongeza uwezo wa kubuni vitu mbalimbali ambavyo vitasaidia Taifa kwa ujumla na kuongeza kasi ya Ukuaji wa Sayansi na Teknologia (Science and Technology) .
Ubunifu kawa huu wa Magari na vitu kadhaa unafaa kuigwa na wanachuo wengi sio kukopi (Copy na Paste) projects zilizofanywa na watu wengine huko nyuma.
Niwapongeze wanafunzi hawa wa Diploma toka chuo cha mtakatifu Joseph kwa ubunifu huu mkishirikiana ipasavyo na wanafunzi toka vyuo vingine.
Big up sana vijana.