Wahindi wanapenda sana kutengeneza kama walivyokuwa wanafanya babu zao miaka yote
Wao wana thamini ya zamani na hawabadiliki mkuu
Vyakula vyao wanatengeneza kwa mikono yao sio mashine
Kweli ni kienyeji mkuu
Ila hata wewe pamoja na kukaa hapo nyumbani ila tamaduni za watu zinakufuata hapo hapo hata Italians walituletea pasta na wahindi biriyani
Leo mpaka Mandi ya Myemeni inaliwa Dar
Huwa nasafiri kwenda kuona tamaduni zao na Street food napenda sana
Kama mama ntilie kwetu ila napenda seafood [emoji39] zaidi
Nilienda Unguja nilipenda sana Street food zao