Video: Tundu Lissu azozana na polisi mahakamani, amtetea mteja wake

Ma hawa kina Tundu Lisu wanawadanganya wananchi huku wakijua kabisa ukweli. Mbona kijana kapelekwa huku wakishuhudia. Sasa utakuta wengine walioshikwa akili zao humu ndani ooh Sijui Lisu kafanya nini sijaona cha maana chochote alichokifanya!
 
Ndio na anajua ukweli.... walize serikal.. kesi ngaoi walikuwa nazo against lissu lakin lissy kawashinda?
Hamna lolote zaidi ya makelele. Mbona hili limemshinda kwa kuwa anajua ukweli halafu anadanganya wananchi!
 
Wawe wanapewa likizo za kwenda kujiendeleza kimasomo au kuwe na utaratibu wa kuwafanyia training and development maalumu kuhusu sheria
 
Hapo hiv nani kamshinda mwenzie...? Nani anamumunya maneno?
Tofautishan kati ya kumung'unya maneno na kuongea kwa busara. Niewapenda sana polisi hao kwani wao wala hawakuwa na mihemko. Waliongea kwa busara na kumchukua mtuhumiwa wao na kuondoka nao as yule mtuhumuiwa akidhani atasaidiwa na kia Lisu Thubutu! Wanyonge wangapi wanahitaji msaada wa kisheria wala hatujawaona wakijitokeza?!??! Wanajitokeza watakapoona watapata faida kama si ya kipesa basi ya kisiasa. Eti na sisi tunawashanglia! Aibu kabisa!
 
Ndio kusema kuwa lissu anaongea sababu ya mihemko...? No way man...
lissu is not a mad man... anajua anachofanya, hapo is about sheria, wala usimtetee huyo polis..
Hajui ni hajui tuuuu... thats it, Tundu lissu anajua anajua tu... na itabaki kuwa hivyo man.

Mm ninachoshauri kwenye mitaala za mafunzo ua polis.. kuwe na masomo ya sheria, atleast ngaz ya cheti.. au hata diploma.. wasome sheria.
 
Japo baadae askari aliondoka na mtuhumiwa wake. Lakn nafkiri Tundu lissu alitaka kumpima askari kama anajua anachokifanya.. Japo hata yeye alijua kwamba huyo mteja wake lazma akamatwe...

Ila katia aibu aisee
Hivi ina maana alienda kumkamata bila kujua kosa? Maana naona wamebishana muda mrefu wakati ilikuwa simple tu kumwambia nakukamata kwa kosa moja mbili tatu...habari imekwisha
 
Tofautishan kati ya kumung'unya maneno na kuongea kwa busara. Niewapenda sana polisi hao kwani wao wala hawakuwa na mihemko. Waliongea kwa busara na kumchukua mtuhumiwa wao na kuondoka nao as yule mtuhumuiwa akidhani atasaidiwa na kia Lisu Thubutu! Wanyonge wangapi wanahitaji msaada wa kisheria wala hatujawaona wakijitokeza?!??! Wanajitokeza watakapoona watapata faida kama si ya kipesa basi ya kisiasa. Eti na sisi tunawashanglia! Aibu kabisa!
Hata lisu alijua kuwa mteja wake lazima akamatwe.... point ilikuwa ni ndogo sana..... kumtajia mtu kosa wanalomkamatia
 
Hivi inamaana askari alienda kumkamata bila.kujua kosa? Maana naona wamebishana muda mrefu wakati ilikuwa simple tu namkamata kwa kosa moja mbili tatu...habari imekwisha
Polisi walio wengi wanaenda kimazoea hasa kwakuwa imejulikana kuwa watz wengi hawajui sheria...

Hapo usikute kwakuwa state attorney amempa amri kwamba mtuhumiwa atakapoachiwa anatakiwa kukanatwa tena..

Sasa poti hapo kakurupuka yawezekana hata hakujua offence iliyokuwa inamkabili awali kabla ya kuachiwa
 
Ma hawa kina Tundu Lisu wanawadanganya wananchi huku wakijua kabisa ukweli. Mbona kijana kapelekwa huku wakishuhudia. Sasa utakuta wengine walioshikwa akili zao humu ndani ooh Sijui Lisu kafanya nini sijaona cha maana chochote alichokifanya!
Huyo anayeburutwa siyo mteja wa Lisu.
 
Polisi walio wengi wanaenda kimazoea hasa kwakuwa imejulikana kuwa watz wengi hawajui sheria...

Hapo usikute kwakuwa state attorney amempa amri kwamba mtuhumiwa atakapoachiwa anatakiwa kukanatwa tena..

Sasa poti hapo kakurupuka yawezekana hata hakujua offence iliyokuwa inamkabili awali kabla ya kuachiwa
Bila kukitoa chama cha mapinduzi wananchi wataendelea kuteseka sana,.
 
Back
Top Bottom