Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Nimetaja maccm wenzako ambao wanainfluence serikalini na bungeni ila bado wanakubali lisu ana IQ kubwa sana na ni great thinker both nje ya bunge na ndani ya bunge ndio nauliza who are u mpaka useme lisu ni kilaz.a wakati mapapa ya ccm yanamuelewa ni kipanga??? Kipi hapo hujaelewa
Kumbe ni influence sio uwezo wa kufikiri hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungejibu hoja zake walau ningekuelewa ,kama ni debe tupu basi utusaidie huo u'debe tupu wake tuujue na sisi tusio ufaham
mmoja wa majaji waliojihudhuru ametangulia mbele ya haki, naye alilazimishwa kujihudhuru? si vema kuwasemea majaji waliojihudhuru kuwa wamelazimishwa, njia ya mwongo ni Fupi
 
Na sisi ni wafugaji tunachakalika lakini si kwa kauli za kibaguzi. Wasuku wamejaa kila kona ya nchi mkiingiza ukabila hamtatoboa ndiyo maana wasuku hawafagilii ubaguzi na ndiyo maana wapo kwa wingi kila mahali. Lissu kachemka halafu mbaya zaidi amegusa nyeti za usalama atakoma. Sijui kama Lissu alielewa kauli ya Waziri wa mambo ya ndani juzi kule Ngara. Ni mkumbushe tuuu "asiyelipenda jeshi letu aondoke atoroke saa nane za usiku" kwa waliopita jeshini wanakumbuka hilo pambio. Wacha kukebehi vyombo vya ulinzi Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unjivunia kusambaa Tanzania.Sisi tuliosambaa mpaka nje ya nchi tunaona Ni kawaida.Lisu kasema ukweli na always truth hurts.
 
Kumbe ni influence sio uwezo wa kufikiri hahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa vilaza wa ccm ila ambao walibahatika kupata uongozi ikimaanisha kma viongozi wao wanamkubali lisu je wanachama wa kawaida ndio watamchukia??

Kma kigezo ni wenye kufkiri mbona huongelei wanasheria hata wa maccm walipiga kura na kumpa 88% kwenye chama chao.........
 
wapo wa chato wengi wanaojitambua, watapata kura nyingi tu CHADEMA
wasio na akili timamu kama lissu
IMG_20161103_093228.jpg
 
Kwa taarifa yako wapo watu wengi Chato wanaona kujengewa kiwanja cha ndege ni uamuzi wa kipuuzi haujapata kutokea katika eneo lao. Hivi fedha hizo zingejenga hospitali ya rufaa itakayo hudumia mikoa ya Kagera, Geita na Kigoma sii lingekuwa wazo la maana zaidi? Maamuzi yale watu wa Chato wameona ni ubinafsi wake na familia yake tuu kama Mobutu.
Hivyo acheni kudhani watu wa Chato na kanda ya ziwa ni mazwazwa hawana uwezo wa kuona makosa makubwa kama hayo na kushabikia UKUKU tuu. Ndio maana nguvu zinatumika kuweka ndani hata wanachama wanaofanya vikao vya ndani huko Chato. Ni wengi tuu hawamkubali na wanaongezeka.
unajifariji, kwani kujenga uwanja ndo mwisho, mnawafanya watu wa chato mazuzu wasio staili vitu vizuri, watakapo jengewa hospitali mnaanza kusema Rais anaukanda, mtu wa chato atakae wapa kura mjue anamtindio wa ubongo
 
Unataka asiseme kisa kuwaogopa Hao? Bora wakose kura kuliko kunyamazia hilo. Ilichotakiwa idara ya maelezo na wewe mlipaswa kujibu hoja yake kwa hoja murua. Mnapiga chenga tu. Kwanza wengi kawafumbua macho watazame zaidi kujua ni kweli safu ya juu aliyoitaja inatoka huko?

Mjibuni hoja yake

Sent using Jamii Forums mobile app
ebu taja list ya viongozi wakubwa na wenyekiti wa chadema, wote ndugu zake mbowe
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Mkuu hebu Mimi na wewe tuchambue jambo moja moja ya alosema,
Tuanze na hili la kajenga uwanja wa ndege chato hana tofauti na Mobutu kujenga uwanja kijijini badolite,
Enhee upotoshaji ni upi hapa,
Uwanja na gharama tumika zinastahili kuwepo huko?,akina nani hasa watamudu kupanda ndege kwenda na krudi huko,kufanya nini, halafu kuna source of income zipi zinazofanya umuhimu wa kiwanja cha ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu Mimi na wewe tuchambue jambo moja moja ya alosema,
Tuanze na hili la kajenga uwanja wa ndege chato hana tofauti na Mobutu kujenga uwanja kijijini badolite,
Enhee upotoshaji ni upi hapa,
Uwanja na gharama tumika zinastahili kuwepo huko?,akina nani hasa watamudu kupanda ndege kwenda na krudi huko,kufanya nini, halafu kuna source of income zipi zinazofanya umuhimu wa kiwanja cha ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkuu hujui kitu huo uwanja upo pale kiusalama zaidi na wala si wakiraia na mchakato umeanza tangu awamu ya nne. Sasa nyumbu mkimsikia Tundu anaongea chochote tu mnaunga mkono bila kufanya utafiti. Uwanja ni wa kiusalama kwa sababu ya mapori yaliyoko biharamuro na kama utakumbuka kuna wakati mapori hayo yalikuwa yanatumika na majambazi yakiwa na silaha za kivita walikuwa wanatoka Rwanda na Burundi.
 
hata kama magufuli hategemei mikopo ya wazungu mbona kutwa wakija Tanzania huwa anawaomba omba? Si kigezo cu weka ushahidiha kwanyanyasa Wapinzani kuwabambikia Kesi na uonevu wa kila Aina.
Hebu weka ushahidi ili tukumbushane muhenga
 
Taratibu usiwe na hasira, pole kama nyumba yako ilianguka na tetemeko au ng'ombe wako umebadilisha kwa debe tatu za mahindi, ila hapa ungesaidia kujibu hoja ya Lissu ya ukanda na ukabila.
Ishu ya ukanda na ukabila ipo na Lissu kaweka kwa mifano,kwa hiyo anayepaswa kujibu ni yule mvunja madirisha na genge lake!
 
Wewe mkuu hujui kitu huo uwanja upo pale kiusalama zaidi na wala si wakiraia na mchakato umeanza tangu awamu ya nne. Sasa nyumbu mkimsikia Tundu anaongea chochote tu mnaunga mkono bila kufanya utafiti. Uwanja ni wa kiusalama kwa sababu ya mapori yaliyoko biharamuro na kama utakumbuka kuna wakati mapori hayo yalikuwa yanatumika na majambazi yakiwa na silaha za kivita walikuwa wanatoka Rwanda na Burundi.
Mbona unakuwa mwepesi kutoa kashfa hasa kwa mtu ambae hajakukashifu?,hivi ukijibu kistaarabu km ulivyoulizwa utapungukiwa nini,
Nnamashaka na mazingira ilipotungwa mimba yako maana roho za kukimbilia matusi zinatokana na kurithi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom