Video training sites

Video training sites

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,640
Wakuu Umofia,

Ninaomba yeyote mwenye link ya website yoyote ambayo naweza ku pata access ya kuwatch na ku download Video training za topic mbali mbali za Engineering, Business, Documentaries etc. afanye kuweka humu ili tufaidike wengi.

Natanguliza shukrani wanabodi.
 
Wakuu naomba msaada jamani
 
Msaada jamani wanajukwaa hili bado nasubiri
 
Kwa Video training Mu-sir
Code:
 http://ocw.mit.edu/courses/
Code:
 http://www.lynda.com/subject/all
Code:
 http://nptel.ac.in
 
Last edited by a moderator:
Kwa Video training Mu-sir
Code:
 http://ocw.mit.edu/courses/
Code:
 http://www.lynda.com/subject/all
Code:
 http://nptel.ac.in

Asante sana Mwl.RCT kwa link hizo naamini ni msaada tosha na kwa wengine.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo Lynda.com ni lazima ulipie? Hakuna mlango wa nyuma? Nimevutiwa nayo.
Cc: Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom