Video: Tizama utalii unavyo hujumiwa Tanzania

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Hivi Kama sio kuuwa utalii hiki ni nini? Was shocked when I was it at abc news kuwa sasa hakuna haja ya kusafiri 28 hours kwenda kuona wanyama ngorongoro kupitia GMA 360 technology utaona kila mnyama ukiwa sebuleni kwako.... Nadhani serikali
Need to act ASAP on this.... Inasikitisha!!

Video link:
Video: 'GMA' on Safari: Live Inside the Ngorongoro Crater
 
No impact; hii ni kama documentary za national geographic unavyoweza kuona Anaconda kule Amazon ukiwa sebuleni kwako tu; Kitu live, ana kwa ana na simba from zero distance ni experience tofauti kabisa; msisimuko wa damu mwilini na nywele kupwaa kichwani; wee acha tu! Watakuja tu, janga la kupambana nalo ni majangili na wezi wa mapato kwenye hifadhi zetu! Good observation anyway, well done.
 
Umesikiliza lakini mkuu?
 
Sioni cha ajabu kudhania ni kudelute tourism but rather ni kupromote. Hata kwenye mpira wa miguu inapendeza sananlive kuliko kutumia video. So wacha watangaze tu ndipo wenye pesa watasema nooo wtf nataka kwenda kuona live
 
Tatizo ni kuwa TANAPA, Ngorongoro Crater etc pamoja na wizara husika wanakuwa siyo wabunifu maana hata mashirika hayo ya umma ya ki-Tanzania wangeweza kutengeneza documentary safi na kuzitundika Youtube au hata kuwauzia/kupata royalties toka Youtube, Mashirika makubwa ya ndege Qatar/Emirates/AA/DELTA/Virgin/Qantas mashirika makubwa ya television kama ABC Marekani , Australia, Germany, Uchina n.k mbali ya pia documentary hizo pia zinachochea watalii kuijua Tanzania na kuamua kupanda ndege kuja kuwaona wanyama mbugani.

Tanzania inaishia kulipia matangazo ya dakika 2 ktk TV stesheni za nje kwa gharama kubwa sana au kuweka mabango ya matangazo ktk viwanja vya michezo Marekani na Ulaya wakati wanaweza kwenda mbali zaidi na kufanya hayo niliyoyaelezea ktk paragraph ya kwanza hapo juu na kuongeza mapato zaidi.
 
Umesikiliza lakini mkuu?
Bila kusikiliza nisingecomment; nothing alarming; ni vishoka tu wanajaribu kupata market niche kupitia e tourism; tourism is nature not fiction! Relax man
 
Ipo haja ya kuongeza tozo kwa wenye mitambo ya kuchukua picha humo hifadhini kufidia watalii wasioweza kuja kutokana na kutazama yanayojiri hifadhini kupitia technology hiyo
 
Tatizo ni kuwa TANAPA, Ngorongoro Crater etc pamoja na wizara husika wanakuwa siyo wabunifu maana hata mashirika hayo ya umma ya ki-Tanzania wangeweza kutengeneza documentary safi na kuzitundika Youtube au hata kuwauzia/kupata royalties toka Youtube, Mashirika makubwa ya ndege Qatar/Emirates/AA/DELTA/Virgin/Qantas mashirika makubwa ya television kama ABC Marekani , Australia, Germany, Uchina n.k mbali ya pia documentary hizo pia zinachochea watalii kuijua Tanzania na kuamua kupanda ndege kuja kuwaona wanyama mbugani.

Tanzania inaishia kulipia matangazo ya dakika 2 ktk TV stesheni za nje kwa gharama kubwa sana au kuweka mabango ya matangazo ktk viwanja vya michezo Marekani na Ulaya wakati wanaweza kwenda mbali zaidi na kufanya hayo niliyoyaelezea ktk paragraph ya kwanza hapo juu na kuongeza mapato zaidi.
Kaka wewe unavyoonekana ni marketing oficer nzuri shida haujapa nafasi kwenye hayo mashirika tungekuwa mbali kule kuna watu wana elimu zao za hapa na pale uwezi kuwabadilisha mtazamo wao na pia kupata ajra huko no vigumu sana.Hila mchango wako wamehusikia,jiulize tu tungekuwa na shirika imara LA ndege utalii ungekuwa wapi badala ya watalii kuletwa na mashirika ya ndege ya nche tungekuwa na ndege zetu zinawafuata huko kuwaleta kutalii nakuwarudisha.Fikiria KQ,SA au ETh wanaweza wakaweletea watalii kwenu waache kuwapeleka Kenya,
 
Back
Top Bottom