Video: Jinsi Marekani wanavyoua Utalii

Adventure of see wild animals and landscape is by seeing in face and pay a visit not on air in television...i think thats credit for us,wanatutangaza!
Dont be so negative kwa kila kitu,sawa mkubwa?
 
Adventure of see wild animals and landscape is by seeing in face and pay a visit not on air in television...i think thats credit for us,wanatutangaza!
Dont be so negative kwa kila kitu,sawa mkubwa?
Mkuu sidhani Kama wanatutangaza.... Ukiwasikiliza hapo kuna Yule aliyepo ngorongoro anasema now you don't need to travel 28 hours to see we bring it to your living room... Huku ni kuuwa utalii
 
Mkuu sidhani Kama wanatutangaza.... Ukiwasikiliza hapo kuna Yule aliyepo ngorongoro anasema now you don't need to travel 28 hours to see we bring it to your living room... Huku ni kuuwa utalii

It is illogical to assume it will kill tourism.

Vipindi vya Serengeti vipo katika Discovery Channel, NatGeo Channel na kwenye YouTube pia.

Hata Paris unaweza kuiona katika mtandao live. Haipunguzi kuwavuta watalii milioni 85 kutalii Ufaransa.

Kufika sehemu na kuona kwa macho yako simba anavyomvizia na kumla pundamilia ni tofauti sana na kuangalia kwenye TV.

Kuua utalii ni kuweka ada kubwa ya kiingilio na viza na kutokuwa na usafiri wa rahisi wa kuja Tanzania kutoka nchi mbalimbali kuzidisha wateja.
 
Hapo wanatutangaza Mkuu,
Na hiyo ni namna nzuri ya kututangaza.

Wanastahili kupongezwa na sio kuchunguzwa
 
Video: 'GMA' on Safari: Live Inside the Ngorongoro Crater

My take: kuna haja ya serikali kuingilia Kati.
Mkuu hapo naona wanatutangaza
Mtalii angependa kufika huku mwenyewe baada ya kuona kinachoendelea.
Ndio maana unaona wenzetu wanamiminika kwenye viwanja vya mpira kujionea kabumbu live hata kama luninga zinaonyesha pambano husika,juzi mkenya alionekana akiojiwa na Bbc huko Uingereza alikoenda mahsusi kuangalia mechi ya Arsenal na Barcelona
 
Mkuu nakupongeza kwa kuijadili nchi yako.
Ila hiyo ni kasi ya teknolojia kwamba mtu akiona ndio anavuti,sio Ligiya zamani ya TFF kwamba mpira ukitangazwa na kuonekana basi watu hawaendi uwanjani.
Dunia imebadilika,ndio maana hata keki ya harusi huwezi kuila kwa picha.
 
Akina Simba kila siku wanawaonekana kwenye TV kuna tofauti ya kuangalia TV na live experience the latter ndio kinachowafanya watu waende kuwaona mbugani; kuwa na dedicated TV channel ya Ngororo thats a huge favor.

I will be suprised kama sisi atulipii kiasi kwenye gharama za hicho kipindi au hakuna mtu ambaye anafanya shughuli za utalii ngororo anayegharamia that is necessary 'above the line promotion' whereby in most cases it is expensive.
 
Hii dhana ni sawa na kusema wasanii kuweka nyimbo zao youtube wanajimaliza. Hii ni kutoona mbali. Hiyo inaongoza popularity ambayo benefit yake unaipatia pengine.
 
Back
Top Bottom