Video: TB Joshua alitabiri kutekwa kwa ndege ya Misri

Migomba

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
945
1,336
Jana tumeshuhudia ndege ya misri ikitekwa na hatimaye watu wote kutoka salama. Leo Kuna video imetolewa na baadhi ya mitandao ya dini ikimuonyesha Mtumishi wa Mungu Joshua akisema anaona mfano wa puto likitekwa na watu waliomo ndani wanafanikiwa kutoka salama, tazama link ya video hapo chini.

 
Atutabirie Tanzania baada ya kunyimwa hela za MCC itakuwa na hali gani kiuchumi ili tujipange vzr. Na sio kungoja vitu vitokee ndo atoe utabir...
 
RIP Mutharika. Sisi tunaandaa mashada ya maua. Mama Makamu atatuwakilisha msibani hapo Blantyre. Poleni Wafiwa.
 
Wala usikae kimya .. Huyu kila kitu anatabiri ila hawezi kuzuia
azuie ye mungu? ye anaonyeshwa na mungu ili awafunulie binadamu kinachokuja kutokea..But binadamu kwa yanayoendelea duniani tunashindwa kujua which is which na tufanye nini kuzuia..Lakini mengine yanaweza kuzuilika militia sisi wenyewe..Mfano lile tukio la kudunguliwa kwa ndege ya abiria ya urusi kule misri pia alitabiri kwa kusisitza commercial planes zisitumie anga la maeneo yale au wawe makini wanapopita pale sabb ameoneshwa ndege ikiangushwa na abiria wote watakufa!na tukio litaungana na upuuz wa nchi flani..Na ikatokea kweli...But kama urus wangekaa na kufikiria huu unabii wake c wangezuia
 
Utabiri sio mbaya ila wangeitoa mapema hiyo video kabla ya kutokea ndio inatolewa,ili kama watu wachukue tahadhari mapema
walio kanisani kwake wakati wa ibada na wanaofuatilia misa zake na wanaoangalia live kupitia emmanuel tv ndo wanakua wa kwanza kuusikia huo unabii anaotoa!na siku hiyo hiyo video unaikuta youtube!
So labda mtu akiona huo unabii unahusu nchi yake inabid awajulishe mamlaka ya juu ya nchi yake waufikirie but nahisi wanapuuza au wanashindwa kuelewa..na mda pia anaoonyeshwa inategemea na tukio kama limepangwa ghafla kama la kigaidi...Kwa mfano lile tukio la kulipua mabomu indonesia alilitabiri jumapili na akasema litatokea kati ya alhamis au ijumaa...Bara la asia au ulaya!
 
Huyu "nabii" yeye kazi yake kubwa ni kutabiri ndege tu, kwa nn asiwe anatutabilia na sis waendesha boda boda kama leo tutaliingia fuso au tutatekwa nyara?
 
Duu kwa hiyo yule jamaa sijui ni wa Malawi nae ajiandae si alisema hafiki April ? Duu zimebaki siku mbili jamaa wa watu sijui yupo kwenye hali gani sasa hivi ,huu utabiri huu
 
Back
Top Bottom