white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,490
Habari.
Kuna wizi hufanyika kwenye ATM,ambapo mtu anaweza kukusaidia au kukuelekeza atm inayotoa hela ni ile au anakuambia umpe kadi yako akusaidie kuweka,ukimpa anakubadilishia alafu anakuambia uweke namba zako za siri na yeye anakuangalia unavyohangaika kisha anakuacha na kadi fek yeye anaondoka na kadi yako kwenda kutoa hela ATM nyingine kwani alishaona no.zako za siri wakati anakuambia uingize
Hivyo basi,usikubali kusaidiwa na mtu yeyote,PIA usikubali kuweka no.zako za siri wakat kunamtu pembeni yako.PIA unapoweka no.zako za siri HAKIKISHA unafunika no.unazobonyeza kwa mkono wako wa pili ili mtu asione unabonyeza no.gani.
Ni Hatari Sana.
ATM yako ni kwaajili Yako.