Video inaongelea jinsi gani uchumi wetu unavyochukuliwa kutokana na mikataba mibovu na makampuni makubwa. Misaada tunayopewa ni theluthi ndogo sana ukilinganisha jinsi makampuni ya kigeni yanavyochota. Hapa wanaongelea uchimbaji wa shaba Zambia, lakini tunaweza pia kufananisha na hapa kwetu Tanzania kwenye uchimbaji wa madini mbalimbali pamoja na mikataba mingi mibovu. Fedha zinazopatikana ni nyingi mno lakini hazimsaidii kwa vyovyote vile mwananchi wa kawaida. Ndio maana umaskini wetu unaendelea kushamiri.
Wayahudi wanatuibia sana Africa. Hiyo kampuni Glencore inayoongelewa kwenye hiyo documentary ilianziswa na myahudi Marc Rich na sasa inaendeshwa na myahudi mwingine Ivan Glasenberg. Wote ni mafisadi wa hali ya juu ukisoma historia yao. Na hapa kwetu ndiyo wametapakaa kila sehemu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.