VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

Hii imetengenezwa,zengwe hilo.Huyo jamaa ni cdm damu na anaeneza uzushi!!Jamani tuache mambo ya ushabiki haya mambo yanayoonekana hayapendwi au kuonekana yanatisha kumbe baadhi ya watu ndiyo wanayapenda hii ni hatari
Wakurogwa usirogwe kudanganya tena dhidi ya ushahidi huu muhimu. 1. Mwekahazina wako amekiri kambi ipo. 2. Kijana aliyekuwa kambini ametuonyesha kambi na kadi yake ya chama chako.
Ndugu yangu utawala umeshafitinika hakuna msaada kimbia haraka au funga mdomo wako.
Maisha ni magumu wenye madaraka wamepanga kumwaga damu ili washinde by all means. lakini kumbuka MUNGU yupo daima kwenye kweli na haki
 
CCM, CCM, nchi hii yetu wote hakuna mwenye haki ya kuimiliki achani uchwara huo kuchukua vijana mkawapa mafunzo then uchaguzi ukiisha mnawatelekeza watatumia mafunzo hayo kujipatia rizki kwa njia haramu. Ole wetu watanzania, tunaletewa Janjaweed kama kule zenj!

Hiyo picha yako huwa inanichekesha sana. Kwani mara ya kwanza niliiona kwenye jina la Kichwa Ngumu. Zote Ids zako mkuu? Kweli maisha ya watanzania ni kutime iwe kwenye mawasiliano line nne (Tigo, Voda, Airtel and Zantel), kenye JF napo Ids zaidi ya mbili, n.k. Kazi tunayo watanzania.
 
Japo CCM imekuwa ikihubiri "AMANI", itakuwa ya kwanza kuvunja amani ya nchi hii hasa pale inapokataa kushindwa.

Nakumba Askofu Kakobe aliposema kuwa, nchi zote zilizoingia kwenye machafuko Africa chanzo kikuu ni vyama vinavyotawala kukataa kuachia madaraka kwa hiari

Wana CCM mjifunze sasa kuwa muhstakabali wa amani ya nchii hii uko mikononi mwenu
 
CCM kudadadeki!! dah!!????? at any cost!!. '...... aliamulisha na kusema Kanyagakanyaga hao watu'.by Mkapa. dah!Hii mbaya!!
 
Hiii nchi yetu bana siasa ni priority kubwa zaidi ya kitu kingine chochote.

Vijana wanasoma darasa la kwanza hadi la saba au hata form one hadi four hawajawai kufanya study tour hata moja japo ya kwenda mkoani au mkoa jirani lakini kwenye uchaguzi wa kiaisia basi vijana ndio wanapata opportunity.

Sitashanagaa wananchi wakiaanza kkuwaombea wabunge wao wabunge wao wafe ili wapate neema.

Demokrasia yetu bado ina mamtatizo kibao
 
Imagine hizi kambi zingekuwa za Chadema ingekuwaje nafikiri CCM wangeshashitaki UN.
 
Huyu bwanamdogo Nchemba ameanza fitna mapema sana, huko uzeeni lazima atakuja kuwa mchawi tu!
 
Ajabu kabisa,, ukisikiliza hii video pale ikiwa ime read 0.55 mpaka 1:00 minute,, utamsikia mtangazaji akimwuliza kwamba "wewe unaishi Igunga,, leo uko hapa Singida" etc etc. Mtu huyo huyo pale video ikiwa at 7:15 min anasema " mimi si mwenyeji sana HAPA IGUNGA" sasa hapo wanye akili najua mmejua ninachoongea.
 
Ajabu kabisa,, ukisikiliza hii video pale ikiwa ime read 0.55 mpaka 1:00 minute,, utamsikia mtangazaji akimwuliza kwamba "wewe unaishi Igunga,, leo uko hapa Singida" etc etc. Mtu huyo huyo pale video ikiwa at 7:15 min anasema " mimi si mwenyeji sana HAPA IGUNGA" sasa hapo wanye akili najua mmejua ninachoongea.
Yote hiyo ni kuwachanganya watu kama wewe msijue imerekodiwa wapi na lini kalagabaho..
 
Back
Top Bottom