VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

Sasa hapa tuseme nini? Taifa kwanza au chama kwanza. Taifa lililofisika kimawazo huwaka chama kwanza. Hii ni Hatari sana.
 
Yote hiyo ni kuwachanganya watu kama wewe msijue imerekodiwa wapi na lini kalagabaho..
sasa hapo umemchanganya nani? Au umejichora tu maana wajanja wameshaelewa kwamba ni video ya kupikwa. Ni pandikizintu na halina mashiko.
 
igunga kuweni makini sana na ccm kama mnaufahamu mtaona njisi gani ccm inavyojifanya ndumila kuwili lakini ukweli nyoka mwenye sumu mbaya sana (koboko)
 
NOW AFTER WATCHING THE CLIP I DECLARE THAT!
THE LIBERATION WAR HAS OFFICIALLY STARTED!
Please join me to fight this holy WAR!!
 
Namshukuru sana Mungu kila leo vyote ninavyovijua juu ya nchi yangu kweli vinafanyika. kikwete kweli ni kama Gadaffi hakuna tofauti yeyote ile na kila ushahidi tunao. Wananchi lets move forward kumwondoa kikwete kwani wengi hatutaki hata sura yake tena.

Hakuna haja ya kuwa na Taifa linaitwa Tanzania tena ila ni nchi ya Utumwa wa ajabu huu ... udikteta .... ubaguzi .... I am fed up.

Usalama wa Taifa sio. kikwete anatumia hii ofisi ya ikulu ili kuwaangamiza watanzania sio. Then kuna watu huko US wanakubali kufanya unyama wa kumwita aongee kwenye dicota na mataifa yanadhbutu hata kumwani kikwete na kumpa funds za nchi. What a shame to usalama wa Taifa na Tunawapa jina la Unyama wa Taifa ...
 
Jana nilimsikia Lissu akisema wanapeleka malalamiko kwa mabalozi nchini ya viongozi wa upinzani kufunguliwa kesi wasisahau kuunganisha na hizi picha za makambi ya kigaidi.
 
Its high time now these information should be sent to Ocampo before its too late, whoever with the knowledge how to reach Ocampo can do it now!
 
Back
Top Bottom