VIDEO: Siri zaidi za kambi ya Singida zajulikana

E bwana hii habari noma, mie nilijua tu tangu mwanzo huyo kijana atakuwa amemwagia na wana CCM sasa hii imekula kwao wana CCM na Nape wao aliyeanza kushutu eti Dr feki....!!
 
huyu kijana ni mwongo na aogopwe kama ukoma!!!kilichomtoa huko kwao ninini???
 
Polisi na UWT wameruhusu chama cha CCM kuvuruga amani wao wakiwa wamelala na Mazuzu! Ngoja tusubiri tusije tukalaumiana mwisho wa siku kila mtu abebe mzigo wake saa mbaya na Jeshi soon litahasi na kutisa nchni yote haya ni CCM, Polisi na UWT ndio watajibu.
 
CCM jueni lakuvunda halina ubani muda wakutoka ndoumefika,ugaidi hautawasaidia hamjiulizi wako wapi akina Gadaffi,mlizoea dezo sasa kumekucha.
 
Kwa ushahidi huu kama kungalikuwa na utawala wa sheria leo CCM na kundi lao wangalikuwa wanajibu shitaka lakini kwa kuwa wanadhani Tanzania na watanzania ni mali yao basi kimya kimya ila kuna mwisho wake .
 
Nyie CHADEMA fanyeni mpango sasa hii television yenu itoke kwenye mitandao ya kijamii iende kwenye mainstream kama zilivyo TV station nyingine. Hii itawasaidia kusikika kwa watu wengi zaidi na kuzoeleka kabla ya kampeni za uchaguzi wa 2015. Kuna haja pia ya kufikiria kuanzisha redio na Gazeti lenu kabla ya uchaguzi huo.
 
shem on you ccm. Inasikitisha Nyinyi ccm mmelogwa au kweli nia na madhumuni ni kushindwa kwa namna yoyote jimbo la igunga. kweli sasa inafika wakati tuungane watanzania kuukataa ukatili au mipango hii mibovu ya serikali yetu kupitia kwa ccm. na huyo kijana kama akiuwawa au kutendewa lolote huo ndio utakuwa mwanzo wa watanzania kuingia barabarani
 
Just thinking aloud hivi CCM walizaliwa ili watawale? lazima washinde kila uchaguzi?
 
anayoyasema huyu kijana, inaweza ikawa ni moja wapo ya mafunzo waliyoyapata huko kambini, eti katoka atokako kaamua kuwa mkweli hivi na aogopi chochote, mhmhhmmm si kihivyo lakini.
 
hivi kwa nini chama tawala kinapokabiliwa na tishio la kupoteza jimbo, jimbo hilo lazimaliwe na vurugu? mbona kwenye majimbo ambayo huwa wana uhakika wa kushinda huwa hakutokei vurugu? surely mwanzilishi wa hizo vurugu huwa ni wao wenyewe watawala....The Hague inanyatia Tz na sijui kwa nini hatujifunzi kwa kesi lukuki ziendazo The Hague
 
Kama jimbo moja wanapeleka watu 400 kambini je uchaguzi mkuu si watatumia jeshi?
 
Hali ni mbaya sana. Mungu atunusuru. Lakini hili wimbi la wahindi, waarabu kujificha ccm tunalichukuliaje?
<br />
<br />
tunakasirishwa na hari hii ila catalyst inaitajika ya kuongeza speed ya kuwashugulikia hawa wafadhiri wa ccm.
 
CCM, CCM, nchi hii yetu wote hakuna mwenye haki ya kuimiliki achani uchwara huo kuchukua vijana mkawapa mafunzo then uchaguzi ukiisha mnawatelekeza watatumia mafunzo hayo kujipatia rizki kwa njia haramu. Ole wetu watanzania, tunaletewa Janjaweed kama kule zenj!
 
huyu mjaluo wa kenya na igunga wapi na wapi?
Nawewe mgumu kuelewa! husikii anasema yeye ni wa tarime,na ameletwa na ccm kufanya umafia? na Tarime ndiko kwenye wa jaluo.Ila inaonyesha anayehoji hakujua awali kuwa ni wa tarime,alidhani ni wa igunga.CCM WANAHATARISHA AMANI ya Taifa.Kwa hali ya kawaida tindikali haipatikani kirahisi mtaani,mara nyingi tumeshuhudia ccm wakiitumia kuwaadhibu watu
 
Back
Top Bottom