Video: Sheikh Mwaipopo awaombe Radhi Waislamu. Ameanza kukengeuka au anatumika? Hii ni Kebehi kwa Waislamu

Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini?

View attachment 3342874

Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.

Huyu ni shekhe kweli? Akiwa anatukana wakristu na watu wanaohoji baadhi ya mambo, anaonekana wa kwenu. Akitoa maswali upande wenu mnataka kumchapa viboko.

Dini sio vita. Tuchukuliane taratibu. Tutafika tu
 
Mjinga huyu. Atachapwa viboko. Ana matusi na dharau kwa uislamu ambao ndo unamlea na kumpa kula. Hovyo sana huyu bwege
 
Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini?

View attachment 3342874

Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
Tatizo lake anadhani Uislam ni majina hao alio wataja nani kawahi kujenga Masjid ambayo unaweza kusema huo ni Masjid kweli. Nani anasaidia masikini Uislam na show off wapi na wapi.

Hao sijui kama wanasali kwenye Masjid salaa 5? Mlio wa ona hebu tuambieni ukweli wao.

Eti wakristo wako pamoja hahaha sijui huyu aliwahi kufika Europe akawaona walivyo au kule USA
 
huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
Ameongea point ukweli mchungu ila ni ukweli hakuna uongo aliosema katika yote aliyosema amesema kwa ushahidi na fact km unataka kumpinga mpinge kwa fact na ushahidi, alichosahau ni kile kitendo cha kwenda kutupa mawe kwenye jiwe kubwa tu ndio amesahau kua wanaendaga dunia nzima
 
Tatizo lake anadhani Uislam ni majina hao alio wataja nani kawahi kujenga Masjid ambayo unaweza kusema huo ni Masjid kweli. Nani anasaidia masikini Uislam na show off wapi na wapi.

Hao sijui kama wanasali kwenye Masjid salaa 5? Mlio wa ona hebu tuambieni ukweli wao.

Eti wakristo wako pamoja hahaha sijui huyu aliwahi kufika Europe akawaona walivyo au kule USA

Weeeeee... Mtake radhi mzee bakhresa. Huyu ana thwawab nyingi sana amefanya makubwa huwez jifananisha naye hata theluthi. Amejenga misikiti mingi, misaada ametoa sana. Hata GSM na Mo Dewji. Hawa ni Waislamu hasa hasa siyo kama wewe njaa. Sala 5 wanaswali na wana misikiti mpaka makazini mwao. We dogo angalia sana
 
Ameongea point ukweli mchungu ila ni ukweli hakuna uongo aliosema katika yote aliyosema amesema kwa ushahidi na fact km unataka kumpinga mpinge kwa fact na ushahidi, alichosahau ni kile kitendo cha kwenda kutupa mawe kwenye jiwe kubwa tu ndio amesahau kua wanaendaga dunia nzima
Kumgonga mawe shetani?
 
Hapo inategemea tafsiri ya organised kwakke ni ipi.
Kama swala na hijja zinaendelea ni organised tosha

Kama anakusudia kuwa na matamko na waraka , binafsi sijawahi ona faida ya waraka.waraka ulizuia bandari kubinafsishwa , Na hakuna kilichozuilika.DP wako bandarini

Inabaki ni mtazamo wake
 
Weeeeee... Mtake radhi mzee bakhresa. Huyu ana thwawab nyingi sana amefanya makubwa huwez jifananisha naye hata theluthi. Amejenga misikiti mingi, misaada ametoa sana. Hata GSM na Mo Dewji. Hawa ni Waislamu hasa hasa siyo kama wewe njaa. Sala 5 wanaswali na wana misikiti mpaka makazini mwao. We dogo angalia sana
Sawa dogo nilicho ongea mimi nimeuliza sababu sababu siwajui kwa karibu lakini sijawakosea. Wapi nilipo wakosea
 
Hapo inategemea tafsiri ya organised kwakke ni ipi.
Kama swala na hijja zinaendelea ni organised tosha

Kama anakusudia kuwa na matamko na waraka , binafsi sijawahi ona faida ya waraka.waraka ulizuia bandari kubinafsishwa , Na hakuna kilichozuilika.DP wako bandarini

Inabaki ni mtazamo wake

Amezungumzia Waraka? Sijamsikia kabisa mara 3 zote. Hiyo clip haitumwa humu.
 
Back
Top Bottom