VIDEO: Roma Mkatoliki na hamasa za kisiasa.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Kulikuwepo na bandiko humu kuhusu Roma Mkatoliki na wimbo wake. Nimemtafuta Youtube na baada ya kumuona nikaona niiweke hapa. Hakika watazamaji wake wanaonekana wametiwa hamasa na maneno ya wimbo wake, ambao ni dhahiri kuwa umewagusa kwa vile maneno yake yanahusu maisha yao moja kwa moja.

[video=youtube_share;7AfXDuYBrAY]http://youtu.be/7AfXDuYBrAY[/video]
 
Huyu jamaa anaweza kununuliwa kwa pesa nyingi za CCM ili afuatane nao kwenye misafara maana ndo kijana nayetisha kwenye hipo hop kwasasa!
 
Ukisikiliza kwenye tracks zake ile ya Mathematics na hii ya sasa 2030 sidhani itakuwa rahisi kununuliwa na kawapa kubwa kuhusu CCM kuu akawaambia yeye ni chuma cha pua....
 
Kama anapenda apate mashabiki wote hasa hapa bongo mwambieni abadilishe jina maana hilo jina kwa wazee wa ubwabwa linaashiria mfumo dhahania wanaouchukia zaidi ya shetwani
 
".....leo ridh1 hafanani na makongoro,dah sina hela ya kiroba rashidi nigongee ugoro...."roma mkatoliki.:happy:
 
Kama anapenda apate mashabiki wote hasa hapa bongo mwambieni abadilishe jina maana hilo jina kwa wazee wa ubwabwa linaashiria mfumo dhahania wanaouchukia zaidi ya shetwani

Mkuu mtu mwenye akili anathamini mchango wa mtu na sio wasifu wa mtu. Huyo atakayemkataa kisa wasifu wake ilhali kimyakimya anakubali maudhui ya anachoimba atakuwa na mapungufu na haina umuhimu kumsupport jamaa.
 
mkuu hao jamaa wapiga mpunga huwafahamu misimamo yao? Tembelea sehemu za miji mikubwa usikie zile Cd na dvd zao zinavyo hubiri kinyume na kanisa katoliki wakitambua ni moja wa adui yao katika dini yao hapa nchini.Mi nimetoa ushauri kwa huyu kijana roma abadilishe jina la usanii kwa sababu siku hizi kasi ya mahubiri ya mfumo katoliki inatisha,mpaka madrasa watu wanajengewa dna za kuupinga mfumo unaoitwa kristo kitu ambacho kinaharibu taifa la kesho na la leo pia. Kuna rafiki yangu mmoja aliyekuwa na imani kali aliacha kucheza soka kwa mafundisho aliyopewa na kiongozi wake wa dini kwamba mpira wa miguu umetengenezwa kwa ngozi ya nguruwe. Kwa hiyo ushauri wangu ni wa mhimu kwenye nchi ambayo udini unapaliliwa na watawala wetu
 
Big up R-ymes O-f M-agic A-traction(R.O.M.A).Tanga is ma hood:-D
 
ushauri wangu kama kwrli mtu unamkubali roma na kuthamini kazi yake, basi usiwe kama mafisadi kwa kudownlod huu wimbo, changia kazi yake kwa kutuma elf tatu kwenye number iliyotajwa hapo juu, hapo itaonesha jinsi gani tumeikubali kazi yake na siyo kutla maneno mengi kumsifu bila kumpa support azid kufanya kazi nzur, kudownload bila kulipia ni kuiba kazi ya msanii...
 
mkuu hao jamaa wapiga mpunga huwafahamu misimamo yao? Tembelea sehemu za miji mikubwa usikie zile Cd na dvd zao zinavyo hubiri kinyume na kanisa katoliki wakitambua ni moja wa adui yao katika dini yao hapa nchini.Mi nimetoa ushauri kwa huyu kijana roma abadilishe jina la usanii kwa sababu siku hizi kasi ya mahubiri ya mfumo katoliki inatisha,mpaka madrasa watu wanajengewa dna za kuupinga mfumo unaoitwa kristo kitu ambacho kinaharibu taifa la kesho na la leo pia. Kuna rafiki yangu mmoja aliyekuwa na imani kali aliacha kucheza soka kwa mafundisho aliyopewa na kiongozi wake wa dini kwamba mpira wa miguu umetengenezwa kwa ngozi ya nguruwe. Kwa hiyo ushauri wangu ni wa mhimu kwenye nchi ambayo udini unapaliliwa na watawala wetu

Chuki kwa kanisa katoliki haijaanza leo ndo maana kuna wazushi kibao na wanaongezeka kila uchwao!Hata akibadili jina hawataacha chuki zao.
 
Dah! Huu wimbo una maneno mazito sana jamaa nimeupenda ujasiri wake kawapa za uso wazee wa rangi ya kijani..
 
Back
Top Bottom