Video: RC Makonda aimbwa tena.

Video: RC Makonda aimbwa tena.

Huyu jamaa nngekuwa mimi walahi nngejifuta pole pole hvi kweli jamaa anapata usingizi huyu
 
Aisee hizi burudani hizi,mbona zimezidi😀🙂
 
Daah hakika tulipofika sasa watanzania tumeamua.....songi moja matata
 
Hivi marinda ndo nn na ametolewaje?
Mara ya kwanza nilimsikia sugu pale bungeni akiongelea hili neno......
 
Hata mimi namshangaa sana huyu na ShilawaDU. ShilawaDU anazidi kupata dosari kubwa sana kwa kumpigia debe huyu mhuni. Akili ni nywele hata ShilawaDU ana zake.

Huyu jamaa nngekuwa mimi walahi nngejifuta pole pole hvi kweli jamaa anapata usingizi huyu
 
Hata mimi namshangaa sana huyu na ShilawaDU. ShilawaDU anazidi kupata dosari kubwa sana kwa kumpigia debe huyu mhuni. Akili ni nywele hata ShilawaDU ana zake.
Kuna kitu nadhani kipo kati yao wale sio bure, haiingii akilini mtu mwenye akili zake aendelee kumbeba mtu anayemchafua na kumsifia mbele ya halaiki ya watu,umenichekesha kweli eti Shilawadu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo DU mwishoni lazima iwe capital letters lol! 🙂

Kuna kitu nadhani kipo kati yao wale sio bure, haiingii akilini mtu mwenye akili zake aendelee kumbeba mtu anayemchafua na kumsifia mbele ya halaiki ya watu,umenichekesha kweli eti Shilawadu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom