VIDEO: RAYVANNY afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani

ObieTrice

Senior Member
Jun 27, 2017
159
154


VIDEO : @rayvanny afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani... Tazama hii Akichekelea mrembo@iamveravendetta anayecheza Nusu Utupu.... Full Kujiachia.

Ikiwa bado anaendelea kufanya matanuzi na kusaini business deal na boss wake diamond platinumz pande za marekani. rayvany anaendelea kuchekelea maisha na warembo wa marekani.
 
Back
Top Bottom