Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Kiasi gani wapi inaonyesha kuwa kachukua hela?Akubali yaishe arudishe hela yetu!
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .
Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
Ha ha ha ha ha ha,huo uadilifu wa mtoi umetoka wapi mwambie akueleze bila kukuficha ile ishu inayomhusu yeye na martha dada ambaye ni katibu wa mbunge jimbo la kawe halafu uje kubisha au kusema ukweli.unaemuongelea vibaya namjua....acha uongo...mtoi ni muadilifu na nkweli
Mkuu, huyo Mohamed Mtoi alikuwa ni miongoni mwa waliozomea. Mjepo yupo sahihiCCM ukweli unawauma.Kila mwenye akili anaelewa kuwa fedha za umma zimeliwa na Mi CCM mjepo unamshambulia bure mohamedmtoi ,yeye ni mjumbe tu.Tunasubiria Kiporo kisije kuchacha tupo makini sana kuliko mnavyofikiri.Majibu marahisi ya Escrow yatawapa wakati mgumu 2015.Mjiandae kisaikolojia
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .
Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
Mkuu, huyo Mohamed Mtoi alikuwa ni miongoni mwa waliozomea. Mjepo yupo sahihi
Niliwahi kusema wazi kuwa katika watu ambao hawanaakili pale chadema mohamed mtoi utakuwa unaongoza mda mwingi unautumia kupika majungu na umbea .
Ndiyo maana chadema waligundua pia hawajakupa nafasi ya maana kwenye chama wakijua kuwa wewe ni zero kuliko hata mbowe.
Ha ha ha ha ha ha,huo uadilifu wa mtoi umetoka wapi mwambie akueleze bila kukuficha ile ishu inayomhusu yeye na martha dada ambaye ni katibu wa mbunge jimbo la kawe halafu uje kubisha au kusema ukweli.
Kiasi gani wapi inaonyesha kuwa kachukua hela?
Mna kazi mwaka huu mipango yenu ya kifisadi imekwama haina jipya mbele ya wadau wa maendeleo kama muhongo.
Mengi na chadema walijua kuwa propaganda zao zitamsukuma jk kufanya uamuzi ambao hauna mashiko usiojali hoja na ukweli kumbe jk akiambiwa huchanganya na zake.