VIDEO: Polisi wakiserebuka.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Baada ya pilika pilika nyingi ambazo zinawaongezea msongo wa mawazo, polisi hawa wameamua kuserebuka.

[video=youtube_share;4G8UyojZ_fs]http://youtu.be/4G8UyojZ_fs[/video]
 
Inafurahisha macho lakini hapo hapo inaonyesha uzembe wa hali ya juu. Askari polisi wakiwa wamevalia sare za kazi na wengine wakiwa wamebeba vitendea kazi kama bunduki wanaserebuka hadharani. Na hiyo miili inaonyesha jinsi gani polisi wameendelea kuwa legelege, hivi hata uwezo wa kukimbizana na kibaka watakuwa nao? Pamoja na kwamba inaelekea hii video siyo ya polisi wa Tanzania lakini inatupasa tujiulize kweli tungependa kuwa na jeshi la aina hii? Kwa upande mwingine jeshi la namna hii linawafaa sana viongozi wa serikali yetu ambao kauli mbiu yao ni kula nchi!
 
Siku yangu ilikuwa na kiwingu lakini kimeondoka baada ya kuangalia video hii.
 
Nimewaona kule kwa mithupu nimecheka hadi mbavu zangu zauma
 
Wako kwenye time clock ama wame clock out? Kama wame clock out kwa nini wana uniform? Kama wako kwenye time clock hapo likitokea timbwili wanatakiwa wa respond ama wako dance-lunch break?

You see, kama umepata laana ya kuishi nchi za wenzetu ukiona kitu kama hiki halafu watu wanacheka wanafurahia unashangaa mno. Huwezi kuona uniformed law enforcement officer Ulaya au Marekani yuko kwenye li-pati anacheza mangoma, never, mwiko!!!!!!

So foreign exposure ni laana fulani kwa saab vitu vingi kama hivi vinakushtua, vinakuumiza kichwa wakati wengine wanaona mbona pooooa tu?! Lakini haya ndio yanafanya Waafrika tunaishi kama bata mzinga kwenye mifereji ya maji taka, tumejawa turkey stuffing vichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…