Wananchi wa Kigoma wamekula pilau ya sikukuu ya Mwaka Mpya pamoja na Mbunge wao, Clayton Revocatus Chipando Baba Levo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa kabla ya kuhitimisha mwaka 2025. Katika ahadi hiyo, aliwataka wananchi wa jimbo hilo wasipike pilau siku hiyo, akieleza kuwa yeye mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.