mkuu HTC one x ni ya mwaka jana kama sijakosea ila nokia 6 ni ya mwaka huu,htc nawaheshimu kwa ubunifu na sio watu wa kukopi kama samsung
angalia hii simu yao mpya S8 wateja wamelalamika kuwa display yake inachuja na kuwa nyekundu....wateja wameanza kuzirudisha madukan