Tatizo OS yake ya window kama haijapokelewa vizuri kwa users wa simu zenye OS ya Window
mkuu hii ni mid-range phone ingawa wametumia chipset ya snapdragon 430 ya low-end phones lakini bado ipo vizuri kwenye speed na kuhandle gemu kubwakubwa.sjajua ni kwanini ameng'ang'ana na chipset ya snapdragon 400series wakati top tier ipo 8xx sa ivi
sjajua ni kwanini ameng'ang'ana na chipset ya snapdragon 400series wakati top tier ipo 8xx sa ivi
Wacha nifany mpango niuze hii Microsoft Lumia 650Hapa TZ bado haijafika, Ila bei elekezi toka nokia inakadiriwa itafika kwa Euro 229.
Simu ngumu ilikuwa ni htc one x, hii unaweza kuigeuza nyundo ya kugongelea misumarindio simu pendwa kwa sasa nchini china na ndio simu ambayo imeuza batch 14 yaani kila batch ikitoka inauzwa ndani ya dk 1 mzigo umeisha pia ndio simu nngumu kwasasa
jana wamefanya comparison between Nokia 6 vs samsung S8 hasa kwenye speed na bado nokia 6 imenya poa(kumbuka n6 ni midrange phone vs flagship)
naisubiri hii simu kwa hamu kubwa ninunue
Mkuu hebu tuongee biashara naihitaji hiyo simu njoo pmWacha nifany mpango niuze hii Microsoft Lumia 650