Video na picha za kughushi zinazotengenezwa kwa teknolojia ya (AI) zinaweza kuwapotosha wapiga kura na kudhoofisha imani katika mchakato wa uchaguzi

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi.

Video na sauti za kughushi (Deepfake) zinazotengenezwa kwa Akili unde zinaweza kutumika kuwapotosha wapiga kura na kudhoofisha imani katika mchakato wa uchaguzi.

Deepfake zinaweza kumfanya mtu aonekane akisema au akifanya mambo ambayo hakuyafanya.

Tembelea Jukwaa la JamiiCheck kupata uhalisia wa video iwapo imetengenezwa kwa akili unde au lah ili uweze kufanya maamuzi yaliyo sahihi kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
 
Technologia imekuwa changamoto kubwa sana kwa Nchi za Ulimwengu wa Tatu ambapo watu walio wengi hawana Elimu rasmi ya kueleweka.....tumedandia gari kwa mbele; namaanisha; Temepokea technologia wakati hatujawa tayari
Kila uchafu unaopostiwa kwenye media watu WANAUAMINI KUWA NI KWELI na kuanza kuforward bila hata kutumia akili kidogo kufikiri. Ukiangalia taarifa za upotoshaji watu wanazotumiana kwenye magrup, utagundua, Ipo shida kubwa ! watu wetu walio wengi hawana ELIMU inayohusu maendeleo ya Technologia
 
Technologia imekuwa changamoto kubwa sana kwa Nchi za Ulimwengu wa Tatu ambapo watu walio wengi hawana Elimu rasmi ya kueleweka.....tumedandia gari kwa mbele; namaanisha; Temepokea technologia wakati hatujawa tayari
Kila uchafu unaopostiwa kwenye media watu WANAUAMINI KUWA NI KWELI na kuanza kuforward bila hata kutumia akili kidogo kufikiri. Ukiangalia taarifa za upotoshaji watu wanazotumiana kwenye magrup, utagundua, Ipo shida kubwa ! watu wetu walio wengi bado ni wajinga!
Sio nchi za ulimwengu wa tatu pekee ni dunia kwa ujumla.
Ni wachache wenye kuijua AI kiundani.

Video nyingi huko mitandaoni wanatumia AI kuthibitisha uongo wao.
 
Wengi bado hatujajua ni kwa namna gani tunaweza kutumia teknolojia kurahisha utendaji kazi wetu katika namna chanya na badala yake tunatumia vice versa
 
Sio nchi za ulimwengu wa tatu pekee ni dunia kwa ujumla.
Ni wachache wenye kuijua AI kiundani.

Video nyingi huko mitandaoni wanatumia AI kuthibitisha uongo wao.
I agree mkuu, but inatuapsa kuendelea kujifunza na kuona kwa namna gani tutamia teknolojia hii kw amanufaa
 
20250610_063721.jpg
 
Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi.

Video na sauti za kughushi (Deepfake) zinazotengenezwa kwa Akili unde zinaweza kutumika kuwapotosha wapiga kura na kudhoofisha imani katika mchakato wa uchaguzi.

Deepfake zinaweza kumfanya mtu aonekane akisema au akifanya mambo ambayo hakuyafanya.

Tembelea Jukwaa la JamiiCheck kupata uhalisia wa video iwapo imetengenezwa kwa akili unde au lah ili uweze kufanya maamuzi yaliyo sahihi kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Ukitegemea kuthibitisha kila jambo kupitia JamiiCheck utalala njaa.
 
Back
Top Bottom