Video na Audio: Wimbo wa Chadema Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video na Audio: Wimbo wa Chadema Musoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 17, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Watu wengi wamekuwa wakijiuliza juu ya wimbo huu. Ninawapatia hapa kwa hisani ya Phillip Mugendi.  Unaweza kuupata katika sauti pekee yake ukiwa remastered by moi.

  BONYEZA HAPA while you still can kwani ina limit ya kudownload.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Imetulia
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  haki ya Mungu lazma Kikwete afungashe virago vyake Ikulu! safiii hii
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  senks mzee
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Asante kwa masahihisho ya anuani ya tovuti hapo juu!!
   
 7. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Thanks Mwanakijiji. Lakini tatizo hizi nyimbo pamoja na uzuri wake hazipatikani sana mitaani. Naamini kama zingekuwa zinapigwa kwa wingi kama zile za CCM, watu wengi wangepata ujumbe husika kupitia hizi nyimbo. Nimeupenda sana wimbo huo. If possible wataalamu wa kuedit nyimbo wauunganishe wimbo huo na huu hapa halafu zitawanywe kwa kasi kubwa ili zimfikie kila mtu:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ngoja niunganishe hizi mbili.. na moja nasikia bado inakuja.
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwanakijiji,
  Naomba uniwekee na ule CCM Pressure inapanda inashuka, please.
   
 10. Mwasi

  Mwasi JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Shukrani sana wakuu kwa hizi nyimbo. I wish Watanzania wapiga KURA ambao hawajafanya maamuzi sahihi wasikie hizi nyimbo wawe wajasiri, watamani mabadiliko bila uoga waseme wamechoka kudanganywa sasa basi wa-wamwage kweli hiyo siku ya siku! Kama inawezekana hizi nyimbo zipigwe Redioni ujumbe uwafikie watu wengi kirahisi kama mkuu Lukolo alivyopendekeza. Jamani tuwamwage kweli! Mwagaaaaa......!!
   
 11. a

  anney Senior Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wimbo unatisha
   
Loading...